Kwani visungura ni nini?Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
View attachment 3064554
KiwinguKwani visungura ni nini?
Sema sura ya mzee imetota pombeUlanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
View attachment 3064554
Si ndiooooo πWe bwan wew,, πππ
Wacha nishangilie ushindi kwanza bwan πSi ndiooooo π