Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.

Nikitafakari haya mambo, nadhani kuna Tatizo kubwa kwenye Taasisi hii ya Katoliki.

Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi.

Screenshot_20220125-002520.jpg
 
Naona wangeruhusu tu kuoa, dhana ya kuwa single na kumtumimkia Mungu maisha yote halafu unajificha unalawiti watoto, haingii akilini. Na vitu kama hivi ndiyo vinasababisha niache kwenda kanisani, na kuja kuona dini kama fundraising projects kupitia sadaka zetu.

Watumishi wa Mungu ndiyo hawaaminiki kabisa. Bora hata wahuni wa mtaani tu.
 
Kuna Kiongozi mmoja wa Dini aliwahi sema - huku Africa hakuna tatizo, hilo ni tatizo la wazungu. Umewahi sikia vyombo vya habari vya huku vinahabarisha? Watumishi wa Mungu huku Africa wana nguvu sana kwenye jamii- heshima, kuaminika na nguvu ya kifedha (sadaka na vipaji).

Vyombo vyetu vya habari vinaogopa - usilaumu Dini fulani ni kama kuchezea moto- inaweza kuchochea machafuko wakati wowote katika nchi. Muhimu wazazi kuchunga wototo wao, sio kuamini kila kitu wanachoambiwa na waalimu wa Dini.
 
Ulawiti haufanywi tu na Watu wa Kanisa Katoliki na ni Upungufu mkubwa wa Akili kwa Mtu anayejiita Intellectual hapa JamiiForums kufanya Fallacy of Generalization kuwa Dhambi ya Mkatoliki Mmoja basi ni ya Wakatoliki wote.

Una uhakika kuwa huko katika ama Dhehebu lako au Imani yako hakuna Vitendo vya 'Kifirauni' kama hivi? Kama Wewe ni Muislamu ni Kesi ngapi za Walimu wa Madrasa Kuwaingilia Watoto huwa zinaripotiwa? au huwa huzisikii na unajifanya umezisahau?

Mwaka jana kuna Taarifa ya Mchungaji Mmoja wa KKKT alikutwa na Dhambi hii ( unayoisema kuwa ipo tu Roman Catholic ) je, uliisikia na Kuifuatilia?

Chuki yako ( zenu ) dhidi ya Kanisa langu la Katoliki ni Kwakuwa Kwanza lina Waumini walio 'Academicians' hasa halafu pia ni 'very Intelligent and Think Tanks' by nature' kuliko Makanisa yenu na hizo Imani zenu zingine hivyo kwa Mtu kama Mimi GENTAMYCINE wala siwashangai sana sana nazidi tu Kuwadharau na Kuwasanifu kwa Ushamba ( Umbwiga ) na Upopoma ( Upumbavu ) wenu wa Kurithishwa.

Hakuna kama Roman Catholic duniani.
 
Kuna Kiongozi mmoja wa Dini aliwahi sema - huku Africa hakuna tatizo, hilo ni tatizo la wazungu. Umewahi sikia vyombo vya habari vya huku vinahabarisha? Watumishi wa Mungu huku Africa wana nguvu sana kwenye jamii- heshima, kuaminika na nguvu ya kifedha (sadaka na vipaji). Vyombo vyetu vya habari vinaogopa - usilaumu Dini fulani ni kama kuchezea moto- inaweza kuchochea machafuko wakati wowote katika nchi. Muhimu wazazi kuchunga wototo wao, sio kuamini kila kitu wanachoambiwa na waalimu wa Dini.
Mbona padri kimario aliwekwa hadharani?
 
Back
Top Bottom