Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Mnawaharibu watoto ambao Yesu alisema "waacheni watoto waje kwangu kwani ufalme wa Mbinguni ni wao" Wataenda Mbinguni na huo uchafu?? Mfanyeni ninyi kwa ninyi, au mtoke mkaoe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa faida ya nani?
Hawa ndo wanaharibu dunia yetu
Yaani mwanaume mzima badala ya kutumia neema aliyopewa na Muumba kwa kuwapa wanaostahiki,yeye anageuza kijambio chake kitumike vibaya.Wananuka VAVI. Pumbavu sana.
Kwa faida yao binafsi,
Dunia yenu inaharibiwa na mambo mengine kabisaa,
Ndo hiyo neema ya kijambio wanatumia kukidhi haja zao za kimwili.
Hawanuki ila wananukia harufu ya marashiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi mtoto wako wa kiume akitelezeshewa chatu utaona ni sawa na kumpongeza?
Kuhusu hili inategemea sasa yuko ktk umri gan, na muenendo wa tukio lenyewe, km yupo below 18yrs ntatafuta njia ya kusolve ikiwemo kudadisi kwa undani suala husika na yeye analichukuliaje, then ndo ntajua nichukue hatua zipi,

Ila km yupo above 18yrs, ntaanagalia yeye binafsi analichukukiaje hilo, mengine yatafahamika baada ya hapo, watoto wengine wa kiume huwa wana shawishi wenyewe watu wengine wawaingilie, hili nalo liangaliwe pia. Ukweli lazima usemwe.
 
Tatizo lilianza pale kwenye mwanaume rijali haruhusiwi kuoa na mwanamke eti wanaita sister hawaolewi kweli yanatoka kwa mungu hayo maagizo ila wana moyo sana.
 
Acha kutetea upuuzi. Hakuna majitu mashoga na malawiti kama wakatoliki na waanglikana. Shame on you.
Waislamu ndo wamejaa mashoga na mabasha kibao, tena wanaita sunnah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au tukupe in4 zaidi?
 
Huwezi kuacha kufunga milango ya nyumba yako halafu useme et wengine walifunga milango ila wezi walivunja na kuiba, kwahiyo kama kweli hatuvipendi hivi vitendo kwenye jamii basi lazima tuondoe mazingira rafiki ya kuwezesha kufanyika hivyo vitendo kadri tuwezavyo ili vipungue.
Ukweli ndio huu sasa.
 
Tatizo lilianza pale kwenye mwanaume rijali haruhusiwi kuoa na mwanamke eti wanaita sister hawaolewi kweli yanatoka kwa mungu hayo maagizo ila wana moyo sana.
Mbna sasa hata hao wanao oa wanalawiti na uzinzi tyuuh? Au wanaemwake walio olewa wanachepuka? Ni tabia na hulka ya mtu tyuuh.
 
Ila idadi yao inakuwa sio kubwa sana kama wale wasio oa au kuolewa.
 
Haya mambo hayanaga mwenyewe ni kumuomba Mungu atuepushe , kukemea pamoja na hatua kali za kisheria zichukuliwe.
 
Back
Top Bottom