blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Hizo taasisi nyingine una taarifa zao!??Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi
Tukupe!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo taasisi nyingine una taarifa zao!??Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi
Kwani ni nani hasa anaezuia mapadri kuoa au mkristu kuoa wake zaidi ya 1?Naona wangeruhusu tu kuoa, dhana ya kuwa single na kumtumimkia Mungu maisha yote halafu unajificha unalawiti watoto, haingii akilini. Na vitu kama hivi ndiyo vinasababisha niache kwenda kanisani, na kuja kuona dini kama fundraising projects kupitia sadaka zetu.
Watumishi wa Mungu ndiyo hawaaminiki kabisa. Bora hata wahuni wa mtaani tu.
Taasisi gani?Hizo taasisi nyingine una taarifa zao!??
Tukupe!?
Acha kutetea upuuzi. Hakuna majitu mashoga na malawiti kama wakatoliki na waanglikana. Shame on you.ILA KUTAJA KATOLIKI NI KUICHAFUA TU..... Tunajya ulawiti ni issue ya jamii nzima...
Ni kweli kabisa. Hayo yanatokea katika kila sehemu ya kuabudu kutoka na usiri na ushawishi walionao wakuu wa makanisa. Lakini ndani ya kanisa catholic ndio kalikuwa kamchezo. Halafu kukawa na siri kubwa ingawa wahalifu walifahamika. Watuhumiwa walikuwa wanahamishwa kwenda sehemu nyingine pale wanapotuhumiwa kuwapakata vijana wadogo.Kwani hayo yako katoliki tu, jiulize kwa nini wengine hawasemwi
Hatari sana. Hapo Boston, mashariki mwa Marekani vijana wengi wa kiume walipata Habari yao. Kuna ibilisi moja anaitwa John Geoghan, huyu inasemekana, peke yake, aliwaharibu zaidi ya watoto wa kuime 150.Kumbeeee
Dah hii hatari sasa
Na kwenye dini nyingine walikuwa wanafanyajeNi kweli kabisa. Hayo yanatokea katika kila sehemu ya kuabudu kutoka na usiri na ushawishi walionao wakuu wa makanisa. Lakini ndani ya kanisa catholic ndio kalikuwa kamchezo. Halafu kukawa na siri kubwa ingawa wahalifu walifahamika. Watuhumiwa walikuwa wanahamishwa kwenda sehemu nyingine pale wanapotuhumiwa kuwapakata vijana wadogo.
Wewe unaamini katika mapadre wote wa kanisa katoliki hapa Tz ni huyo mmoja tu. Je kesi yake iliendaje? Kanisa katoliki hasa Marekani na Ulaya liliamua kukabiliana na tuhuma hizi za ulawiti baada ya kubanwa na vyombo vya habari, Sheria na madai ya malipo ya fidia yalikuwa mengi sana hata kuhatarishi kufilisika kwa Kanisa nchini Marekani (Boston USA). Katika madhehebu yote - kanisa katoliki hasa uko Majuu limeamua kushughulikia na kujisafisha. Shida ni huku kwetu- Kanisa Katoliki linapuzia na waumini wengine ambao wanatakiwa kuwa makini na kuwa mashahidi wa vitendo hivyo nao vile vile hawataki kuamini.Mbona padri kimario aliwekwa hadharani?
Many are deceived, very sad!..Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.
Nikitafakari haya mambo, nadhani kuna Tatizo kubwa kwenye Taasisi hii ya Katoliki.
Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi.
View attachment 2094593
Mara ngapi tumesikia maustadhi, wachungaji na viongozi wengine katika jamii wakifanya vitendo vya kulawiti na kubaka hoja Yako Ina chuki ndani yake juu ya kanisa katoliki, ulawiti na ubakaji ni janga la Dunia nzima kila mmoja Kwa nafasi yake asimame kulipinga hadharani na kulilaaniKumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.
Nikitafakari haya mambo, nadhani kuna Tatizo kubwa kwenye Taasisi hii ya Katoliki.
Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi.
View attachment 2094593
Kesi ya padri kimario ilienda vizuri hadi akafungwa, sema alikuja kutoroshwa jela akapelekwa msumbiji hadi mauti yalipomkutu, kuhusu mapadri wa huku kwetu sina ushahidi kama bado wanalawiti watoto maana sasahivi wameachiwa mno kupiga mademu hadi inafikia hatua tunanyang'anyana mademu kitaaWewe unaamini katika mapadre wote wa kanisa katoliki hapa Tz ni huyo mmoja tu. Je kesi yake iliendaje? Kanisa katoliki hasa Marekani na Ulaya liliamua kukabiliana na tuhuma hizi za ulawiti baada ya kubanwa na vyombo vya habari, Sheria na madai ya malipo ya fidia yalikuwa mengi sana hata kuhatarishi kufilisika kwa Kanisa nchini Marekani (Boston USA). Katika madhehebu yote - kanisa katoliki hasa uko Majuu limeamua kushughulikia na kujisafisha. Shida ni huku kwetu- Kanisa Katoliki linapuzia na waumini wengine ambao wanatakiwa kuwa makini na kuwa mashahidi wa vitendo hivyo nao vile vile hawataki kuamini.
Kwamba wanalawiti watoto kwenye madrasa ama vp?Hapa kwetu Mustadh kwenye Madrasa ndio shida kubwa
Sio kuishia kulipinga na kulaani tu bali na kuchukua hatua kwa kuondoa mazingira yenye kupelekea kuweza kufanyika hivyo vitendo ili tuweze kuvipunguza katika jamii.Mara ngapi tumesikia maustadhi, wachungaji na viongozi wengine katika jamii wakifanya vitendo vya kulawiti na kubaka hoja Yako Ina chuki ndani yake juu ya kanisa katoliki, ulawiti na ubakaji ni janga la Dunia nzima kila mmoja Kwa nafasi yake asimame kulipinga hadharani na kulilaani
Hiyo ni nature huwezi kuiondoa watu wameoa lakini Bado wanafanya hivyo vitendoSio kuishia kulipinga na kulaani tu bali na kuchukua hatua kwa kuondoa mazingira yenye kupelekea kuweza kufanyika hivyo vitendo ili tuweze kuvipunguza katika jamii.
Kila siku?Mbona kila siku mashehe wanabaka?
Huwezi kuacha kufunga milango ya nyumba yako halafu useme et wengine walifunga milango ila wezi walivunja na kuiba, kwahiyo kama kweli hatuvipendi hivi vitendo kwenye jamii basi lazima tuondoe mazingira rafiki ya kuwezesha kufanyika hivyo vitendo kadri tuwezavyo ili vipungue.Hiyo ni nature huwezi kuiondoa watu wameoa lakini Bado wanafanya hivyo vitendo
Mkatoliki katika ubora wakoHapa kwetu Mustadh kwenye Madrasa ndio shida kubwa