Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Shida ya ukatoliki ni mapadre kuto ruhusiwa kuoa. Bin-Adam kamwe hawezi kushindana na nature, kulhali itachukua mkondo wake.... Kwa siri au kwa dhahiri.
Mliooa hamlawiti, hamzini, hamtendi dhambi?

Wasiooa wote hulawiti?

Je, Yesu alipotembea juu ya maji aliendana na nature? Alipopaa mbinguni aliendana na nature?

Mtume Paulo hakuoa na yeye alikuwa mlawiti?
 
Wakati umefika sasa mapdre wa roma wawe wanaoa na wale masister waolewe huku wakiendelea na shughuli zao,kwasababu kuto kuoa au kuolewa hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu,wanaishi maisha ya kujijaribu wakati wanajua dhahiri kuwa uwezo wa kushinda vishawishi hawana...
Kwamba huko kwingine ambako watu wanaoa hakuna cases za ulawiti?
 
Yaani mambo ya kulawitiana yanaongozwa wa waasisi yaani viongozi wa ibada.. acheni makuzi nyie labda hii bastora niwe nimefungiwa kibari wasithubutu kumfanyia mwanangu mtanifunga hata miaka bilion nane
Kwan utajua sasa? Ukute anaukatikia mkunyenge tangu kitambo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.
Amelipotezeaje?
 
PADRI kaingia kanisani na biblia ya kifreemason tu kafukuzwa na hapo kanisani sembuse huyo aliyelawiti watoto kwa miaka mingi tu.. alaf huyo aliyetunza siri anakuja kuleta uzushi wa kuomba msamaha alaf unakuta kuna kinda linatetea.. angefanyiwa hivyo vitendo mwanao ungekuwa katika hali dhaifu ya kusamehe acha ujinga.. kipara
 
Ndo maana ushoga na mashoga wanatamba kwa maana michezo hii inabarikiwa na baadhi ya hawa viongozi wa dini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.
Kwa faida ya nani?
Hawa ndo wanaharibu dunia yetu
Yaani mwanaume mzima badala ya kutumia neema aliyopewa na Muumba kwa kuwapa wanaostahiki,yeye anageuza kijambio chake kitumike vibaya.Wananuka VAVI. Pumbavu sana.
 
Wakibainika wahusika, wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Maana hakuna Kanisa linalo hamasisha watu wake kufanya maovu badala ya mema.

Hizi ni tabia binafsi za watu, wakiwemo hao Mapadre wachache.
Kuchukuliwa hatua ni lazima maana walichofanya ni kinyume na sheria ila mie nimeuliza kama kuna njia ya kupunguza vitendo hivyo.
 
Mwanajeshi mwaminifu hakimbii vita bali hutafuta mbinu ya kupambana na kupata ushindi. mahusiano halisi ya mwanadamu na MWENYEZI MUNGU yapo ndani ya mtu na sio nje ya mtu katika mazingira hayo hayo magumu tumtafute MUNGU kwa kuwa hata hao wanaozungumzwa wanamuhubiri MUNGU wa kweli faili zao zinatisha lakini bado watu wanabarikiwa na MUNGU katika mazingira hayohayo.
Kikubwa zaidi Mungu husamehe dhambi na kututakasa na kusahau kabisa (Isaya 1:18; Isaya 43:25) na tena huliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia (Mika 7:18).

Tukisema fulani ama dini fulani ni safi kuliko wengine twajidanganya, tena twasema uongo kwa sababu wote wametenda dhambi (Mika 7:2 na kupungukiwa na utukufu wa Mungu (Warumi 3:23).

Hivyo, kikubwa kwa kila mmoja wetu anapaswa kutubu kwa Mungu ili kusamehewa makosa yetu na kuwa na nyakati za kuburudishwa (Matendo 3:19).
 
PADRI kaingia kanisani na biblia ya kifreemason tu kafukuzwa na hapo kanisani sembuse huyo aliyelawiti watoto kwa miaka mingi tu.. alaf huyo aliyetunza siri anakuja kuleta uzushi wa kuomba msamaha alaf unakuta kuna kinda linatetea.. angefanyiwa hivyo vitendo mwanao ungekuwa katika hali dhaifu ya kusamehe acha ujinga.. kipara
Hizo "biblia za kifreemason" ndio zipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.
Vipi mtoto wako wa kiume akitelezeshewa chatu utaona ni sawa na kumpongeza?
 
Kwan utajua sasa? Ukute anaukatikia mkunyenge tangu kitambo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zima hiyo kitu unayovuta wee binti. Unamuwaziaje mtoto wa mwenzako mabaya kiasi hiki?!!
 
Back
Top Bottom