Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Yaani unaenda mbali kote huko kuongelea hilo suala la ulawiti, na wakati ukienda hapo Zanzibar tu, Madrasa nyingi zimegeuzwa kuwa sehemu rasmi za kuwafanyia watoto hivyo vitendo vibaya?

Mimi nadhani tungeanza na zile Madrasa za Zanzibar kwanza halafu baadae tuhamie huko kwenye Kanisa Katoliki, kama taasisi. Maana ni vizuri tukianza kupambana na tatizo lililo ndani ya uwezo wetu, kabla ya kukimbilia huko kwa Papa Francis!
Huku Bara hakuna madrasa zenye hayo mambo?

Ok ushauri wako ni upi kwa hizo madrasa katika kuondoa hili tatizo?
 
Naona wangeruhusu tu kuoa, dhana ya kuwa single na kumtumimkia Mungu maisha yote halafu unajificha unalawiti watoto, haingii akilini. Na vitu kama hivi ndiyo vinasababisha niache kwenda kanisani, na kuja kuona dini kama fundraising projects kupitia sadaka zetu.

Watumishi wa Mungu ndiyo hawaaminiki kabisa. Bora hata wahuni wa mtaani tu.
Hawa jamaa ndoa hawataziweza kabisa katika makundi yenye matatizo katika ndoa ni wale wakatoliki walioishi muda mrefu Seminary yaani baada ya kwenda uflateli kisha akaamua kuacha pia hata mapadre walioamua kuoa wengi wamekufa haraka kwa kuwa hawakuweza kuhimili changamoto za ndoa.

Mwisho wa siku hizi ni tabia za mtu binafsi wako pia wenye ndoa na bado wanawalawiti watoto wadogo na jamii inajua wakiwemo viongozi tunaowaamini na kuwapa dhamana kubwa kwa ajili ya jamii na nchi kwa ujumla
 
Aliyekosea ni kiongozi huyo mstaafu na huyo padri na si kanisa la katoliki. Ni sawa na useme waislam wote ni magaidi au viongozi wao ni magaidi kumbe si kweli wanaofanya hayo ni huko ugaibuni.
 
IMG_4062.jpg

Hawa wapuuzi Ndio walioleta dini Africa
 
Hizi dini hizi..anyway ushauri kwa wakatoliki endeleeni kutafuta Mungu wa kweli..hicho kisiwe kituo chenu cha mwisho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanajeshi mwaminifu hakimbii vita bali hutafuta mbinu ya kupambana na kupata ushindi. mahusiano halisi ya mwanadamu na MWENYEZI MUNGU yapo ndani ya mtu na sio nje ya mtu katika mazingira hayo hayo magumu tumtafute MUNGU kwa kuwa hata hao wanaozungumzwa wanamuhubiri MUNGU wa kweli faili zao zinatisha lakini bado watu wanabarikiwa na MUNGU katika mazingira hayohayo.
 
Huku Bara hakuna madrasa zenye hayo mambo?

Ok ushauri wako ni upi kwa hizo madrasa katika kuondoa hili tatizo?
Mimi nimemshauri mtoa mada asiende mbali kote huko kulijadili Kanisa Katoliki kama taasisi! Maana atapoteza tu muda wake. Badala yake aanzie hapo Visiwani Zanzibar, ambako kesi za ulawiti kwenye Madrasa, zimetamalaki!

Sasa ukitaka ushauri, basi nitakuambia wazazi wawe makini na watoto wao kwa kuwafuatilia kwa ukaribu. Lakini pia kuwe na utaratibu mzuri wa kusajili hizo madrasa.

Na mwisho kabisa, mtoa mada atambue fika makosa hayachagui Kanisa au Dhehebu! Kinachotakiwa ni sheria kuchukua mkondo wake. Kama imetokea Padre au Ustaadh amelawiti kwa kutumia mgongo wa dini, awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi!

Hivyo binafsi sioni sababu ya kulijadili Kanisa Katoliki kama taasisi kana kwamba linaunga mkono hivyo vitendo. Vitendo hivyo hufanywa na watu wachache wenye tabia hizo! Hivyo walitakiwa wachukuliwe hatua za kisheria wao kama wao. Badala ya kulihusisha Kanisa lote. Bila shaka umenipata.
 
Nani anaeijua dini yake zaidi ya Viongozi wake waandamizi!

The man on top defines what is!
Taasisi zote hizi za kidini zimeanzishwa na wanadamu na mwanadamu anaezijua siri ( the dark side) ya hizi taasisi ni Viongozi wake!

Sasa ukizipuuza “signs” ni juu yako!
Mema hayafichwi
Mema hutangazwa
Mema hupigiwa Tarumbeta kuwekwa wazi

Uovu hufichwa
Signs ni vitu vinavyovuja kuashiria something underground is going on!
 
Mimi nimemshauri mtoa mada asiende mbali kote huko kulijadili Kanisa Katoliki kama taasisi! Maana atapoteza tu muda wake. Badala yake aanzie hapo Visiwani Zanzibar, ambako kesi za ulawiti kwenye Madrasa, zimetamalaki!

Sasa ukitaka ushauri, basi nitakuambia wazazi wawe makini na watoto wao kwa kuwafuatilia kwa ukaribu. Lakini pia kuwe na utaratibu mzuri wa kusajili hizo madrasa.

Na mwisho kabisa, mtoa mada atambue fika makosa hayachagui Kanisa au Dhehebu! Kinachotakiwa ni sheria kuchukua mkondo wake. Kama imetokea Padre au Ustaadh amelawiti kwa kutumia mgongo wa dini, awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi!

Hivyo binafsi sioni sababu ya kulijadili Kanisa Katoliki kama taasisi kana kwamba linaunga mkono hivyo vitendo. Vitendo hivyo hufanywa na watu wachache wenye tabia hizo! Hivyo walitakiwa wachukuliwe hatua za kisheria wao kama wao. Badala ya kulihusisha Kanisa lote. Bila shaka umenipata.
Tatizo ni kwamba hili suala la ulawiti ni kana kwamba halina ufumbuzi kwamba hakuna njia ya kupunguza au kuliondoa ni kwamba tunalikubali tu liende kuwepo kwa sababu ni baadhi ya tabia za watu japo kesi zimekuwa nyingi sasa na hazipendezi zinachafua, ndio maana mimi nikakwambia utoe ushauri wako wa jinsi ya kukabiliana na tatizo la ulawiti kwenye hizo madrasa na kweli umefanya hivyo. Sasa je unadhani pia huku kwenye kanisa katoliki nako hatua gani zichululiwe?
 
Katoliki sio kanisa/taasisi ya watakatifu tu bali ya wanadamu. Nitajie taasisi au dini yoyote hapa duniani ambayo matatizo kama hayo hayapo
Mkuu unazijua dini zote wewe?
 
Nani anaeijua dini yake zaidi ya Viongozi wake waandamizi!

The man on top defines what is!
Taasisi zote hizi za kidini zimeanzishwa na wanadamu na mwanadamu anaezijua siri ( the dark side) ya hizi taasisi ni Viongozi wake!

Sasa ukizipuuza “signs” ni juu yako!
Mema hayafichwi
Mema hutangazwa
Mema hupigiwa Tarumbeta kuwekwa wazi

Uovu hufichwa
Signs ni vitu vinavyovuja kuashiria something underground is going on!
Kujua dini na kuwa kiongozi wa dini ni vitu viwili tofauti kwenye baadhi ya dini, yani mfano uislamu unaweza kukuta imamu kazidiwa elimu na maamuma wake. Utakuta watu wanajua dini kuliko sheikh mkuu wa Tanzania.
 
Kuna Kiongozi mmoja wa Dini aliwahi sema - huku Africa hakuna tatizo, hilo ni tatizo la wazungu. Umewahi sikia vyombo vya habari vya huku vinahabarisha? Watumishi wa Mungu huku Africa wana nguvu sana kwenye jamii- heshima, kuaminika na nguvu ya kifedha (sadaka na vipaji). Vyombo vyetu vya habari vinaogopa - usilaumu Dini fulani ni kama kuchezea moto- inaweza kuchochea machafuko wakati wowote katika nchi. Muhimu wazazi kuchunga wototo wao, sio kuamini kila kitu wanachoambiwa na waalimu wa Dini.
Aisee..
 
Walaa issue siyo kulawitiwa. Issue ni kutaka kuongelea ukatoliki.
As if mashekhe, wachungaji na hata wewe mleta mada na jamii inayokuzunguka hili jambo halifanyiki. Pumnavu sana wewe
Mama yako


Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mapadri waowe sasa. Hizi kashifa sio nzuri.

Hata hivyo Katoliki wamechakachua sana neno la Mungu na kuweka mambo yao kujifurahisha na dunia. Wameacha maagizo ya Mungu wa Ukweli.

Wameshavunja vunja ya Pili na ya Nne.

Wakabadili amri ya saba ikwawa ya Sita.
 
Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.

Nikitafakari haya mambo, nadhani kuna Tatizo kubwa kwenye Taasisi hii ya Katoliki.

Angalizo; sizungumzii Katoliki kama dhehebu/dini bali taasisi.
View attachment 2094593
Shida pia iko kwa wasomaji kama wewe maana hujui kama unatoa maoni ya maoni kuhusu Papa Emeritus Benedict XVI. Kama mtu kaandika kuhusu papa na wewe ukajenga hoja yako kwa kile alichoandika unakuwa ume'base' andiko lako kwenye secondary (hearsay) source kwa sababu huyo mwandishi hawasilishi alichosikia papa akisema, bali chombo cha habari fulani kilichosema kuhusu alichosema papa. Hapa kuna source ambayo ina'quote' alichosema Pope Emeritus:

Benedict XVI confirms he attended disputed 1980 meeting in Munich

By CNA Staff

Munich, Germany, Jan 24, 2022 / 03:38 am
Pope emeritus Benedict XVI has apologized for mistakenly saying that he did not attend a disputed meeting in 1980 while serving as archbishop of Munich and Freising.

In a statement published in the German Catholic weekly Die Tagepost on January 24, the 94-year-old retired pope said that the mistake was the result of an editing error, reported CNA Deutsch, CNA’s German-language news partner.

Benedict XVI initially told investigators that he was not present at a meeting of archdiocesan officials on January 15, 1980. But in the statement, Archbishop Georg Gänswein, Benedict XVI’s private secretary, said that the pope emeritus “would now like to make it clear that, contrary to what was stated during the hearing, he took part in the ordinariate meeting on Jan. 15, 1980.”

“The statement to the contrary was therefore objectively incorrect,” he said. “He would like to emphasise that this was not done out of bad faith, but was the result of an error in the editing of his statement. He will explain how this came about in the pending statement. He is very sorry for this mistake and asks for this mistake to be excused.”

A more than 1,000-page report on the handling of abuse cases in the Archdiocese of Munich and Freising, issued on Jan. 20, accused the retired pope of mishandling four cases during his tenure as archbishop from 1977 to 1982. Benedict XVI, who strongly denies cover-up allegations, sent 82 pages of observations to researchers compiling the report.

One of the four cases related to a priest named Father Peter Hullermann, who is accused of abusing at least 23 boys aged eight to 16 between 1973 and 1996. The case was first highlighted by the media in 2010, when Benedict XVI was pope, and again earlier this month.

Attention has focused on an ordinariate meeting in 1980, in which the priest’s transfer from the Diocese of Essen to Munich archdiocese was discussed. Gänswein noted in his statement to Die Tagespost that during the meeting it was agreed that the priest, who had admitted to sexually abusing children, should be provided with accommodation in Munich as he underwent therapy.

“Objectively correct, however, and documented by the files, is the statement that no decision was made in this meeting about a pastoral assignment of the priest in question,” he said. “Rather, only the request to provide him with accommodation during his therapeutic treatment in Munich was granted.” Hullermann was later permitted to serve without restrictions in a Munich parish. In 2010, former vicar general Msgr. Gerhard Gruber took “full responsibility” for the decision.

After leaving the Munich archdiocese in 1982, the future Benedict XVI served as prefect of the Vatican Congregation for the Doctrine of the Faith before his election as pope in 2005. He retired in 2013 and has since lived in relative seclusion at the Vatican. The Munich report covered not only the period that the future Benedict XVI led the archdiocese, but also the tenures of Cardinal Friedrich Wetter, who succeeded him, and Cardinal Reinhard Marx, who has served as archbishop of Munich and Freising since 2007.

In addition to criticising the future pope’s handling of four cases, investigators said that Wetter had mishandled 21 cases and Marx two cases. Marx, a member of Pope Francis’ Council of Cardinals, said that he was “shocked and ashamed” at the report’s findings.

The Munich archdiocese is expected to hold a press conference on Jan. 27 to address the study’s conclusions “after a first reading and examination.” Gänswein’s statement said that Benedict XVI was continuing to read the extensive report by the Munich law firm Westpfahl Spilker Wastl.

“At present, he is carefully reading the statements made there, which fill him with shame and pain about the suffering inflicted on the victims,” he said. “Even though he is endeavouring to read the report quickly, he asks for your understanding that it will take some time for him to read it in its entirety due to his age and health, but also because of its large volume. There will be a statement on the report.” – Source: CNA
 
Shida ya ukatoliki ni mapadre kuto ruhusiwa kuoa. Bin-Adam kamwe hawezi kushindana na nature, kulhali itachukua mkondo wake.... Kwa siri au kwa dhahiri.
 
Back
Top Bottom