Sio kila mze huwa na busara kwani wajinga nao huzeheka na ujinga wapJamii forum nowdays imejaa wapumbavu. Nasikitika kusema imepoteza taswira yake iliyokuwa imesheheni great thinkers hapo awali.
Mazala ndio nini?Mlolongo
Duh yawezeka kuwa uko sahihi ila lugha uliyoitumia ni kali mno kiasi inaweza kukuletea mazala
Mbona padri kimario aliwekwa hadharani?Kuna Kiongozi mmoja wa Dini aliwahi sema - huku Africa hakuna tatizo, hilo ni tatizo la wazungu. Umewahi sikia vyombo vya habari vya huku vinahabarisha? Watumishi wa Mungu huku Africa wana nguvu sana kwenye jamii- heshima, kuaminika na nguvu ya kifedha (sadaka na vipaji). Vyombo vyetu vya habari vinaogopa - usilaumu Dini fulani ni kama kuchezea moto- inaweza kuchochea machafuko wakati wowote katika nchi. Muhimu wazazi kuchunga wototo wao, sio kuamini kila kitu wanachoambiwa na waalimu wa Dini.
Hivi JPM na Chenge ni wenu?Ulawiti haufanywi tu na Watu wa Kanisa Katoliki na ni Upungufu mkubwa wa Akili kwa Mtu anayejiita Intellectual hapa JamiiForums kufanya Fallacy of Generalization kuwa Dhambi ya Mkatoliki Mmoja basi ni ya Wakatoliki wote...
Ushauri makini sana huu,unadhihirisha Ugreat thinker wako.Yaani unaenda mbali kote huko kuongelea hilo suala la ulawiti, na wakati ukienda hapo Zanzibar tu, Madrasa nyingi zimegeuzwa kuwa sehemu rasmi za kuwafanyia watoto hivyo vitendo vibaya...