Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

 
Wazungu akili kubwa, siyo sisi tunajua kabisa mwakani mwezi kama huu kutakuwa na ukame na shida ya maji itakuwepo lakini hatufanyi lolote.
Miaka 60 yote tunabehave hivyohivyo.
Miaka 60 kwenye Maendeleo ni michache sana pimbi wewe.
 
Duuh kwahiyo Sisi warusi tuliokua tunasubiri Europe wagande kwenye winter mnatuambiaje sasa[emoji848]
Huyo msambazaji gesi kwa watu wa ulaya wamemwambia Basi inatosha asiwapelekee Tena au ni Ile Depoti ya Buza pekee imejaa🥱
 
Ulaya wana vitu vingi mkuu sema wabinafsi wanaanza kutumia chako hata kwa gharama wakiamini miaka ya baadae vizazi vyao ndio vitatumia mali zao...makampuni yao ya utafiti yanatoka kwao harafu waje watafiti Afrika kwao wasifanye kitu wanakua wameficha password na sisi kwa kuwa uwezo wetu wa kufikiri unategemea majibu yao basi tunaenda kutokana na mdundo...
 
Putin gesi yake itabidi aichome tu au abutue Tena Lile Bomba lingine la Nord stream 2 ...,Ili ges iendelee kuteketea baharini..,hii itamsaidia kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa kuendelea kuchoma gesi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom