Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaaSi gesi tu bali hata baridi haijatokea kama walivyotegemea
Winter bado haijakolea inanusa tu, kuanzia siku 30 zijazo ndo tutapata data kamili.Si gesi tu bali hata baridi haijatokea kama walivyotegemea
Ukiwa umevaa chupi MADE IN CHINA, Unaombea pigo waliompa technology aliekushonea chupi.Winter bado haijakolea inanusa tu, kuanzia siku 30 zijazo ndo tutapata data kamili.
Tuuendelee kutazamaBara la Ulaya sasa ina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] taratibu kaka. Me nimevaa made in Turkey [emoji23]ukiwa umevaa chupi MADE IN CHINA , Unaombea pigo waliompa technology aliekushonea chupi
Miaka 60 kwenye Maendeleo ni michache sana pimbi wewe.Wazungu akili kubwa, siyo sisi tunajua kabisa mwakani mwezi kama huu kutakuwa na ukame na shida ya maji itakuwepo lakini hatufanyi lolote.
Miaka 60 yote tunabehave hivyohivyo.
Huyo msambazaji gesi kwa watu wa ulaya wamemwambia Basi inatosha asiwapelekee Tena au ni Ile Depoti ya Buza pekee imejaa🥱Duuh kwahiyo Sisi warusi tuliokua tunasubiri Europe wagande kwenye winter mnatuambiaje sasa[emoji848]
Sasa mbona viwanda vinafunga kwasababu gharama zimeongezeka watu hadi wanaandamanaBara la Ulaya sasa ina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine.