Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi ukafanywa kwa namna ambavyo tulifanya.....nimeona MaCCM wa Bongo wamechachamaa kufungua nyuzi kila kutwa kujaribu kupaka tope, ila hadi hata Kikwete mwenyewe alikubali uchaguzi wetu ulikua wa wazi sana.

Wakenya walio wengi wamemchagua Ruto, sisi wengine hatuna budi ila kumpa ushirikiano kizalendo ili aendelee alipoachia mwenzake, ila kama kulikua na kasoro, basi ifanywe hima, taratibu zilizopo kisheria zifuatwe, turudie uchaguzi ili apatikane kiongozi atakayekubaliwa na idadi kubwa ya Wakenya.
La sivyo tufanye mengine nchi sionge mbele, mambo yapo mengi ya kufanya na muda mchache.

Mabalozi wa haya mataifa wamesifia sana huu uchaguzi Australia, Canada, Denmark, Germany, Netherland, Norway, Sweden, Switzerland and the United Kingdom.
=====================

Nine ambassadors and high commissioners from European countries and Canada have jointly lauded Kenya's Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) for the way it conducted the August 9 General Election.

In a statement, the ambassadors said the open election has set a standard for the African continent.

“Kenya has set an example to the region and continent as a whole. We call upon all actors to uphold the spirit of peace in the coming weeks,” the statement read.

The nine represent Australia, Canada, Denmark, Germany, Netherland, Norway, Sweden, Switzerland and the United Kingdom.

Dispute resolution​

They encouraged political parties and leaders to follow existing mechanisms for dispute resolution as guided by the Constitution.

Sema Wafula hakuacha kucheza na fursa. Kajipigia dola zake sasa hv account inapumua tu. Tunamkaribisha Zanzibar na Ruaha aje apigwe upepo mwanana wa Bahari na kufurahia mandhari nzuri ya nchi ya Mkwawa mtawalia
 
Nimeona nyuzi zao za "Wakenya watakatana mapanga", jamaa muda wote wanafuatilia hatua kwa hatua wakisubiri vita.
Hawa majirani bana, hawachoki. Yaani tangia siku ya uchaguzi, hadi leo hii wiki ya pili, imekuwa ni mwendo wa kutushobokea tu. 😎 Alafu tukiwaeleza kwamba ukanda wote huu wa AM ni koloni letu sisi manyang'au wataanza kubisha. 😄
 
kusifiwa na mzungu ni kielelezo cha ubora hapo kwenu?

Bora mzungu hana unafiki kama nyie MaCCM mlianza kukosoa uchaguzi tangu mwanzo mpaka leo, mpo mnasubiri kwa hamu kuona tukikatana mapanga
 
doh kumbe huna akili.

img-20220817-wa0009-jpg.2326316
 
Mbona nasikia ulikuwa opaque hao mabeberu hawajamsikia makamu mwenyekiti ?
20220819_140411.png
 
Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi ukafanywa kwa namna ambavyo tulifanya.....nimeona MaCCM wa Bongo wamechachamaa kufungua nyuzi kila kutwa kujaribu kupaka tope, ila hadi hata Kikwete mwenyewe alikubali uchaguzi wetu ulikua wa wazi sana.

Wakenya walio wengi wamemchagua Ruto, sisi wengine hatuna budi ila kumpa ushirikiano kizalendo ili aendelee alipoachia mwenzake, ila kama kulikua na kasoro, basi ifanywe hima, taratibu zilizopo kisheria zifuatwe, turudie uchaguzi ili apatikane kiongozi atakayekubaliwa na idadi kubwa ya Wakenya.
La sivyo tufanye mengine nchi sionge mbele, mambo yapo mengi ya kufanya na muda mchache.

Mabalozi wa haya mataifa wamesifia sana huu uchaguzi Australia, Canada, Denmark, Germany, Netherland, Norway, Sweden, Switzerland and the United Kingdom.
=====================

Nine ambassadors and high commissioners from European countries and Canada have jointly lauded Kenya's Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) for the way it conducted the August 9 General Election.

In a statement, the ambassadors said the open election has set a standard for the African continent.

“Kenya has set an example to the region and continent as a whole. We call upon all actors to uphold the spirit of peace in the coming weeks,” the statement read.

The nine represent Australia, Canada, Denmark, Germany, Netherland, Norway, Sweden, Switzerland and the United Kingdom.

Dispute resolution​

They encouraged political parties and leaders to follow existing mechanisms for dispute resolution as guided by the Constitution.

Mbona mmeshauana kwa kupigana risasi pia mmemua msimamizi wa uchaguzi mkaenda kumtupa mtoni?? Au mnafikiri hatuna taarifa!!?
 
Huu uchaguzi umewaamsha Watanzania wengi sana, sijui kama mtarudia kuwachezea 2025 kama mlichowafanya 2020, labda kama na wao wataendelea kuwa wazembe.
 
Jibu kuhusu mauaji mliofanya ya msimamia wa uchaguzi acha porojo dogo!
 
Nimeshangaa kusoma sehemu hata mkuu wa tume ya uchaguzi kwenu kaiongelea Kenya, ni vyema mjifunze.
 
Hapa kwetu sasa....kamata kamata kimbiza kimbiza mabox ya kura zilizopigwa kabla ya siku ya uchaguzi, 😃 hii nchi hautakiwi kuwa serious.
 
Back
Top Bottom