Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Jibu kuhusu mauaji ya msimamizi wa uchaguzi. Mbona unahepa swali. Hamna kitu nyinyi.Nimeshangaa kusoma sehemu hata mkuu wa tume ya uchaguzi kwenu kaiongelea Kenya, ni vyema mjifunze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu kuhusu mauaji ya msimamizi wa uchaguzi. Mbona unahepa swali. Hamna kitu nyinyi.Nimeshangaa kusoma sehemu hata mkuu wa tume ya uchaguzi kwenu kaiongelea Kenya, ni vyema mjifunze.
Pamoja na kuuawa afisa wa tume?Kuna watu hawatafurahia huu ujumbe.
Pamoja na kuuawa afisa wa tume?
Yaani Tz ikae isubiri kenya wakatane mapanga? Kenya ikichafuka tz hatuko salama vilevile tz ikichafuka kenya hamko salama, sidhani kama kuna anaemuombea mwenzie mabaya.Huyo afisa mmoja ndio mnajifariji naye, mlisubiri tukatane mapanga, mkakesha kila siku mumekazia macho kwenye runinga ila mumeishia kuaibika.
Of-course kuna matukio unfortunate situation kama hilo la afisa mnayemsema Tanzania yote, lakini zaidi ya yote tumefanikisha zoezi moja complicated sana na kwa ufanisi ambao haujaonekana Afrika yote.
Alafu ngoma bado, ngoja kesi iliyowasilishwa na Azimio la Umoja ianze kusikizwa pale Supreme Court. Sijui hivyo vikaragosi vya CCM vitaficha nyuso zao wapi.Huu uchaguzi umewaamsha Watanzania wengi sana, sijui kama mtarudia kuwachezea 2025 kama mlichowafanya 2020, labda kama na wao wataendelea kuwa wazembe.
Alafu ngoma bado, ngoja kesi iliyowasilishwa na Azimio la Umoja ianze kusikizwa pale Supreme Court. Sijui hivyo vikaragosi vya CCM vitaficha nyuso zao wapi.
Huu uchaguzi umenifunza pia kwamba ndani ya jumuiya hii ya AM kuna watu wengi sana 'progressive'. Waliosalia wachache ni hao wahafidhina wa kiafrika, wapuuzi tu, ambao kiasili huwa hawana agenda yeyote ya maana.
Sijakuelewa hapa.
Acha tungoje maamuzi ya mahakama. Natumai viongozi wa pande zote mbili wataheshimu maamuzi hayo. Uchaguzi huu nilikuwa siegemei upande wowote na kwa mara ya kwanza sikupiga kura.Kwamba mahakama ina uwezo kuchenjua yenyewe na kutangaza mshindi, interesting time ahead.
Acha tungoje maamuzi ya mahakama. Natumai viongozi wa pande zote mbili wataheshimu maamuzi hayo. Uchaguzi huu nilikuwa siegemei upande wowote na kwa mara ya kwanza sikupiga kura.