Huna ubavu wa kuchakata habari ambayo tayari Marekani washaitangaza na kukubaliana na umoja wa ulaya, ni vile unatumia uhuru wako wa mawazo tu, Marekani walitathmini hiyo hali kabla ata Putini hajaishambulia Ukraine, vision ya Marekani inalenga miaka mingi ijayo ndio mana walimuekea vikwazo urusi vigorously on the spot siku ya kwanza alipoivamia ukraine.Kila taarifa unayopata jitahidi sana kuichakata kichwani kwako. Kumbuka huo mgogoro unakwenda na SIASA nyingi sana.
Huo uwezekano wa Marekani kufidia hilo gap ilishaongelewa sana hata kabla ya kauli ya Juzi ya Bidden. Lakini bado inaonekena ni vigumu sana kiutekelezaji.
Na ikaonekana iwapo itawezekana Ku supply hiyo gas bado Ulaya watapata maumivu kwasababu haiwezekani kupatikana kwa bei nafuu kama ya Russia. Kwa maana hiyo Russia atakosa kweli na Ulaya watapata gas ya Marekani kwa maumivu na kusababisha kupanda kwa gharama za maisha ndio maana Ulaya wanaihitaji sana gas ya Russia.
MAREKANI NDIYE ATAKAYEFAIDIKA
Jizoeshe kujua hali ya maisha ya russia kwa sasahivi tokea aekewe vikwazo na magharibi na sasa ni just a month