Anaefahamu uchumi atakwambia kwamba kushuka kwa thamani ya rubble against dollar hakuathili uchumi wa Russia kwasababu marekani ameamua kuiunguza dollar kwenye mzunguko hivyo lazima demand yake iwe kubwa sana Duniani. Angalia Kenya Wana upungufu wa dollar uliovunja historia, Tanzania tumepungukiwa sana dollar, Hali hii inaifanya tuitafute kwa udi na uvumba ndio maana imepanda thamani.Anayeupima ni Putin sasa Rubu inashuka tu kutoka 60% hadi 100%
Kwahiyo si rubble pekee imeathirika na kupungua kwa dollar kwenye soko
Madhara ya hii kalata anayoicheza marekani itamuathiri vibaya sana miaka michache ijayo, coz mataifa yatatafuta mbadala wa dollar ili kufanya biashara confidence ya dollar kwenye soko itapotea.
Kwasasa anatumia kupunguza dollar kwenye soko kama silahaa ya kuzitingisha nchi lakini pia kuimarisha mizizi ya uchumi wake. Anapaswa kutumia vizuri sana hiyo solution.
Uchumi wa urusi haujateteleka, tazama sarafu zote Duniani zilivyoathiriwa na kupungua kwa dollar