Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Katika kila mkataba mkubwa kuna kipengele cha God's Act.Russia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.
Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.
Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.
Wakati Russia anaingia mikataba hakujua atawekewa vikwazo na kuondolewa kwenye mfumo wa swift.
At the same time mbona warusi wanaofanya kazi kihalali mali zao zimekuwa freezed bila kujali terms and conditions.