Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Kwa hiyo wewe mwananchi wa Buza kwa
Asante chiefKwa hiyo wewe mwananchi wa Buza kwa mpalange ndio umemaliza kubwatuka ushuzi huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe mwananchi wa Buza kwa
Asante chiefKwa hiyo wewe mwananchi wa Buza kwa mpalange ndio umemaliza kubwatuka ushuzi huu!
Unafiki wa USA na vibaraka wake hua uko hapo kwny'' but the sanctions have left energy largely untouched ''.Mimi huwa nachangantikwa ikiwa mrusi ameondolewa kwenye switf ulaya wanafanya transaction kwa njia ipi hiyo
Putini akikusanya 47% kwa ulaya sasa atazipata wapi, ivi ataweza kurudisha uchumi wake kwa kuuza gesi India, china na Iran??Kwamba yeye Putin kwa hio miaka 8 atakuwa hajapata wa kumuuzia tu! Kenge kweli nyie 😂 siku zote mwenye nguvu ni mwenye mzigo na ndio maana hata mafuta ya kula bei mnapangiwa wanavyotaka wafanyabiashara na mtanunua tu amna namna
Ata kama si kwa 100%, lakini itakidhi halafu miachakato inaendelea kwa nidhati mbadala lakini jana Zelensky amefanya mazungumzo na Qatar alikuwa live kuhusu Qatar ku-take advantage badala russia ambayo imeekewa vikwazo na kuachana na gesi yakeSwali hapa ni kwamba Marekani anayo gesi ya kutosha kuwahudumia raia wake na ya kuuza ulaya??
Sasa ulitaka aendelee kuwalamba matako Marekani? Hata angefanya hivyo wangeishia kumuua tu kama Sadam Hussein kwa visa vya ajabu wacha akiwashe tu afe kiume.Putini akikusanya 47% kwa ulaya sasa atazipata wapi, ivi ataweza kurudisha uchumi wake kwa kuuza gesi India, china na Iran??
Miaka 10 kupata mbadala wa kile mlichokijengea mifumo kabisa ni ngumu. Ila tegemea chokochoko kama hizi huwa zinamuamsha mtu usingizini. Hata miaka 15 mbele ujue tu unatafutwa ufumbuzi ili aither kupatikane mbadala wa gesi (wanasayansi kazini)au itengenezwe hata miundombinu hata ikibidi watatoa gesi Africa. Hiyo hata kizazi kijacho kitamalizia hiyo kaziUnachosema ni kweli, lakini ni lini ulaya itaacha kutumia gesi ya urusi? Kumbuka 40% ni gesi ya urusi pale ulaya.
Je USA ata supply gesi kwa mazingira gani? Je ni meli? Je atajenga bomba? Vyovyote itavyokua, gesi hiyo itakua gharama kubwa mno. Kumbuka kua nchi za kibepari zinaangalia interest, itakua ni ngumu kumfurahisha US wakati wananchi wa ulaya wanaumia na bei.
Ukiacha siasa na media propaganda.. ni ngumu kupata mbadala wa gesi ya Russia kwa miaka 10 ijayo.
Muda utatujibu MKUUSasa je urusi ataiweza hii vita ya kiuchumi??
Anakufa kiume kweli jamaa wanamfata huko huko Donabas, Kyiv kachomoa baada mashambulizi ya hatari watu wake kibao kuuliwa hadi cream ataitemaSasa ulitaka aendelee kuwalamba matako Marekani? Hata angefanya hivyo wangeishia kumuua tu kama Sadam Hussein kwa visa vya ajabu wacha akiwashe tu afe kiume.
Mtwaraunahis alternative ya gesi ni urusi tu ?
Huo Stream 1 Putini sasa kataka alipwe rouble pesa ya russia, jamaa wamemjibu kw kebehi kweli kweli wameshapata mbadala wa gesi na sio kwake tena akafie mbele hukoNaule wa Nord Stream 1 nawenyewe umesimama pia nasikia
hiyo imepigwa long time tuliskia kuna bomba direct kwenda huko EUEU waache kulialia, kwani wameshikiwa mtutu wanunue gesi ya Russia?!
Waende Mtwara wakanunue gesi kwa hayo ma-Euro/USD yao!
Sijui.Hebu google.Kwenye mita ujazo ngapi ambazo EU wanapata tokea RUSSIA?
Hahaha we jamaa unajua kuchamba,bila shaka ni mzaramo. Uchumi haununiwi hivyo, yale ni maisha ya watu. Watake wasitake watanunua. Labda after 5 yrsHuo Stream 1 Putini sasa kataka alipwe rouble pesa ya russia, jamaa wamemjibu kw kebehi kweli kweli wameshapata mbadala wa gesi na sio kwake tena akafie mbele huko
Kwani hizo nchi za ulaya zote population yao ikoje ukilinganisha na hizo nchi mbili India na china? Kwa sababu inaonekana huelewi nini maana ya biasharaPutini akikusanya 47% kwa ulaya sasa atazipata wapi, ivi ataweza kurudisha uchumi wake kwa kuuza gesi India, china na Iran??
Kwaiyo lile swala la uchafuzi wa mazingira na anga ni uongo, hata wafanyaje bado wanahitaji gesi ya Urusi tu. Ngoja iendelee kunyesha tujue wapi panavujawatu wameshaanza kuwasha mamitambo ya makaa ya mawe na nuke wakishastabilize wanaanza kuja kutoboa miamba Africa huku kwa kina January Makamba..
Iran wenyewe hoi bin taaban labda wabadilishane bidhaa Iran watoe tende na maziwa russia wawape gesi, hamna kitu mkuu china bwana wake ni marekani, India hataweza kuziba soko la ulaya kwanza mrusi kamshushia bei anamuuzia gesi kwa bei ya kutupa baada kukosa soko la ulayaKwani hizo nchi za ulaya zote population yao ikoje ukilinganisha na hizo nchi mbili India na china? Kwa sababu inaonekana huelewi nini maana ya biashara
Rubo = Ruble. Kwa mazingira ya sasa ya biashara ya nishati, Russia anazihitaji nchi za magharibi zaidi ya wanavyomuhitaji yeye.Ndio imeishaamua kutokuziheshimu hizo terms
Mnataka tuoni RUBO hamtaki pikieni MKAA
RUSSUA sio ZIMBABWE
Hivi ww jamaa una akili kweli au chenga?Iran wenyewe hoi bin taaban labda wabadilishane bidhaa Iran watoe tende na maziwa russia wawape gesi, hamna kitu mkuu china bwana wake ni marekani, India hataweza kuziba soko la ulaya kwanza mrusi kamshushia bei anamuuzia gesi kwa bei ya kutupa baada kukosa soko la ulaya