wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
AiseeNdio nilichokuwa nawaambia wadau juu pale, lengo ni kumpunguza nguvu kiuchumi Russia na watafanikiwa, muda utasema. Atabaki kuwauzia India na China wanachukua soko lote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeNdio nilichokuwa nawaambia wadau juu pale, lengo ni kumpunguza nguvu kiuchumi Russia na watafanikiwa, muda utasema. Atabaki kuwauzia India na China wanachukua soko lote
[emoji1][emoji1][emoji1]Unyama sana huu[emoji23]
Shida tunajihis kuwa tunauwezo wa kufikiri kuliko ata Putin na Wasaidzi wake!Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuone
😊😊😊😁😁😁Tanzania hii chini ya ccm na waziri wa fedha na uchumi bwana lameck madelu ? Au unazungumzia Tanzania diaspora
With time, Europe will adapt and get new sources.Humu watu mnajadiliana Kama walevi
1.Ulaya wanaitegemea Russia kwa gesi mno kwani ni rahisi na Kuna bombs zimetawanywa Europe gas inafika kwa pipelines.
Ili marekani apeleke gas inabidi asafirishe kwa meli na asambaze kwa meli huku akipitisha gesi maeneo hatari ni gharama kubwa zaidi ya Mara 8 ,compared to Russia.
2. Russia kabla ya hii Vita walishacalculate risk zote na benefit,wakaona ukiiwekea vikwazo Russia , unaiua Ulaya yote kiuchumi kwa fuel na gesi baada ya muda Europe wataachana na vikwazo kwani nchi zao hazitatawalika.
Viva Putin, viva Russia.Hii ngoma bado mbichi Putin anapiga kwenye moyo vizuri Sana ,ngoja tuone mwisho wake
Hujui kwamba US umeweka vikwazo vya supply ya dollar kwa Russia sasa hapa ulitaka afanyaje zaidi ya kutumia pesa yake,ruble?Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuone
Kwamba yeye Putin kwa hio miaka 8 atakuwa hajapata wa kumuuzia tu! Kenge kweli nyie 😂 siku zote mwenye nguvu ni mwenye mzigo na ndio maana hata mafuta ya kula bei mnapangiwa wanavyotaka wafanyabiashara na mtanunua tu amna namnaWhat ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za west
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 umenichekesha sana, yaani Tangia hii vita ianze humu ni full comedyKwahiyo we unaakili kuliko warusi wenyewe tena ni majajusi [emoji3][emoji3] ,Yani humu jf Kuna watu vituko kwel
Germany anasma ataanza kupunguza utegemezi wa Gas toka Russia baada ya miaka 5! Huku Russia alishaingia mkataba na China mwezi January wakujenga bomba la pili kubwa zaidi ya lile la kwanza la "Power of Siberia 1 liloanza kupeleka gasi China anzia 2019, sasa atajenga Power Siberia 2 ambayo kubwa zaidi ilikuodokana na utegemezi wa Ulaya kuhusu mapato!1. Ni kweli usemalo chief, ila kuhusu gharama hizi nchi usiziwekee kabisa hiyo reason.. wako stable mno, bajeti tu ya ulinzi ya marekani ni zaidi ya mara kadhaa ya nchi zingine, hapo unazungumzia ulinzi tu, na kumbuka NATO ni US iko wazi, wataingia gharama yes ila hawashindwi ku supply hiyo gas kwa hizo reasons umesema sijui maeneo ya hatari na pesa nchi nyingi na maeneo mengi inakopita hiyo gas kwa meli ni vibaraka wao hiyo ni fact kabisa labda useme vikundi vya kigaidi tu sio nchi kama nchi, kuhusu kuitegemea Russia kwenye gas 100% nakubaliana na wewe kabisa na kingine kumbuka wakifanikiwa kwenye hili la gas Russia anapoteza kabisa soko ulaya, tusubiri muda
2. Putin ni jasusi bobezi, mzoefu na ana akili si mjinga aingie bila kuwa na plan, ni nadra sana kuona hizi nchi za Europe zikichutama mkuu, ngoja tuone lolote laweza kutokea
Mibinafsi sana hiyo mitawala ya west, na safari hii, hii ngoma mpaka mwisho lazima balance of world power itokee, dollar ipoteze, china iibuke na Africa itarise sana kwa biashara ya mafuta na gas ambayo lazima tutafanya watake wasitake na mibarafu yao ,Walioweka vikwazo hawataki wawekewe vikwazo [emoji16][emoji16]
Hivi vikwazo huwa havikuli kwa haraka haraka kama wengi wanavyofikiri. Hivi sasa inatafutwa njia nyingine ya kupata gesi, urusi ndio amewapa akili sasa kuachana na hiyo gesi yake. Baadae utasikia hakuna nchi ya ulaya inayotegemea gesi toka urusiWakanunue huko sasa kama wanaweza
Unavyotype nyuma ya keyboard uwe unatumia akili kutafakari na siyo kinyeo chako hiko.Unakuta dogo kama wewe umemaliza chuo kikuu, unasubiri ajira. Embu andika tena materc....
US ni mwanaharamu, ila huwezi mlaumu mkuu, to be on top unahitaji mambo mengi sana figisu ni lazima haya mambo yapo karne na karne.. survival of the fittest only the strong surviveGermany anasma ataanza kupunguza utegemezi wa Gas toka Russia baada ya miaka 5! Huku Russia alishaingia mkataba na China mwezi January wakujenga bomba la pili kubwa zaidi ya lile la kwanza la "Power of Siberia 1 liloanza kupeleka gasi China anzia 2019, sasa atajenga Power Siberia 2 ambayo kubwa zaidi ilikuodokana na utegemezi wa Ulaya kuhusu mapato!
Dalili zilionekana tangia mwaka jana mara baada ya kuanza ujenzi wa Nodstreem 2 ambapo USA hakutaka kabisa ilo bomba lijengwe kwenda Germany na hapo Warusi walishajua kuwa huku sio siko japo waiendelea kujenga maana Germany akihitaji ila USA hakutaka!
USA hataki nchi ambazo yuko kinyume nayeye ziwe imara kiuchumi ata zimpite ilo hataki kabisa na ndiyo maana alifanyua figisu Huawei na China yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unaamini sina uwezo wa kufikiri zaidi ya Putin ama baadhi ya wasaidizi wake au wewe unajiona kabisa huna uwezo wa kufikiri? Na unaamini kujua hizo siberia ndio uwezo wa kufikiri au sizifahamu?Shida tunajihis kuwa tunauwezo wa kufikiri kuliko ata Putin na Wasaidzi wake!
Nenda kasome "Powe of Siberia 1 na 2"View attachment 2165617
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna mahala hujaelewa point yanguHujui kwamba US umeweka vikwazo vya supply ya dollar kwa Russia sasa hapa ulitaka afanyaje zaidi ya kutumia pesa yake,ruble?
Mbna kama kajamaa kanalia lia RUBO tuu kma hawataki waacheRais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua gesi kwa sarafu ya Kirusi, huku akimshutumu rais huyo kuwa mwenye nia ya kutaka kuvikwepa vikwazo alivyowekewa kutokana na uvamizi wake wa Ukraine.
Macron aliwaambia waandishi wa habari baada ya Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Ulaya wa mjini Brussels kwamba hatua ya Urusi haipo katika makubaliano na haoni sababu ya kutekelezwa kwa jambo hilo. Rais Putin alitoa takwa hilo juma hili katikia kipindi hiki ambacho serikali yake inakabiliwa na vikwazo vikali vinavyoathiri uchumi wa taifa hilo, kutokana na hatua yake ya kuingia kijeshi nchini Ukraine.
View attachment 2164574
Source: DW
Unahisi wewe unajua alternative kuliko kansela wa GERMANunahis alternative ya gesi ni urusi tu ?
Ndio imeishaamua kutokuziheshimu hizo termsRussia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.
Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.
Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.