Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa gani Tanzania ichangamkie wakati hata mafuta ya kupikia tu hatuna na ardhi yote hii hadi na sisi yamepanda bei huku tukiwa watazamaji tu. Hatuna cha kuchangamkia hapo.Umenena vyema, russia kutaka malipo yawe kwa ruble maana yake anataka aipe thamani pesa yake ktk uchumi ambae anaona mbele utamsumbua zaidi na sio kwamba anaikomoa NATO.
Mambo yakienda hivi, uchumi wa NATO na Russia utatetereka mno apo mbeleni, sijui kwanini Africa hasa TZ tusitazame hizi fursa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani muuzaji ni Russia tuu?US hawawezi kuziba pengo la Russia mkuu, kwanza US gas yake itakua gharama, pili US hawezi ziba pengo la Russia kwa 100%, kwenye 40% wanasema atafidia kwa 10%.
Hao Qatar sio wajinga ni taifa la 3 duniani kwa reserve kubwa ya gas baada ya Iran, wakati inayoongoza ni Russia.
Nambie wewe 30% wanatolea wapi.
Norway, Algeria n.k wanauza gas Ulaya lakini exporter mkubwa zaidi ni Russia.Kwani muuzaji ni Russia tuu?
That is the price the Europeans will have to pay for the sake of democracy and freedom, the values they've been at pains to attain and which are now being threatened by the Russian dictator.Gas inayopelekwa na meli na gas inayopelekwa kwa njia ya pipeline bei ni tofauti ndugu........
Kwa meli gharama ni kubwa, time inapotea pia, risk nyingi, na marekani anatumia hilo gap kuwashika korodani Nato na ulaya yao.......ndio maana mjerumani kaona mbali kasema hawezi kuacha kutumia gas from Russia.....
.... Kwa hiyo tukusikilize wewe unayekula magimbi hapo Buza kwa Mama Kibonge.Acha bangi mkuu, kumbuka Marekani hana gas ya kutosha kufidia gap la Urusi... Pia gas ya America ipo mbali na endapo akitaka kuiuza Ulaya, basi itabidi apakie kwenye matenki kitu ambacho kutasababisha ifike Ulaya ikiwa imepanda gharama mara dufu.
Urusi yeye anacheza na koki tu
Acha kusikiliza propaganda za mataifa ya magharibi
Naomba na afunge bomba la gesi kabisa kwa hizo nchi husika alafu tuone watafanya nn maana tangia hapo tayari wamesha gawanyika makundiHii ngoma bado mbichi Putin anapiga kwenye moyo vizuri Sana ,ngoja tuone mwisho wake
Hapana haiko hivyo, kasome tena. Kuna vitu vitatu waga vinachanganya sana watu:US hawawezi kuziba pengo la Russia mkuu, kwanza US gas yake itakua gharama, pili US hawezi ziba pengo la Russia kwa 100%, kwenye 40% wanasema atafidia kwa 10%.
Hao Qatar sio wajinga ni taifa la 3 duniani kwa reserve kubwa ya gas baada ya Iran, wakati inayoongoza ni Russia.
Nambie wewe 30% wanatolea wapi.
Kweli kabisa lazima pumzi imuishieUrusi hawezi kushindana na dunia
Bas wasianze kununa walivyoambiwa wanunue mafuta kwa ruble.....unanunaje wakati hayo mafuta huyataki......undumilakuwili huoNi kwamba mpaka hapo hizo nchi ziko tayari ku-sacrifice ndio maana ya kuweka hivyo vikwazo vya kufa mtu Crippling Sanctions, russia inatakiwa aje huku tulipo kwa wachumia tumbo.
Tunaingia kwenye lugha sasa..Hapana haiko hivyo, kasome tena. Kuna vitu vitatu waga vinachanganya sana watu:
1. The largest deposit
2. The largest exporter
3. The largest producer.
Wewe ubongo wako umeoza nakujua kitambo.... Kwa hiyo tukusikilize wewe unayekula magimbi hapo Buza kwa Mama Kibonge.
Hafahamu kuwa US wana gesi na oil reserve kubwa sana aeidhin kuliko Russiaunahis alternative ya gesi ni urusi tu ?
Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuoneKupata gesi sio shida.....hilo hata hao ulaya wanajua hilo shida ni kupata gesi kwa gharama ile ile ambayo waliku wanaipata toka kwa mrusi......gesi ya kusafirishwa na meli sio sawa na gesi ya kusafirishwa na bomba........hapo logistics tu zinapandisha gharama
Fungua uzi chief usomeMiundombinu wameijenga lini mkuu
Hiki kitu hakijatokea kwa bahati mbaya.. europeans wapo stable sana aisee, sasa mtu anakuuliza watauzia wapi? Sijui gharama zitapanda tutaseka sisi nchi za huku, wale hawayumbi na wamedhamiria kummaliza nguvu Russia, Putin atumie sana akili kwenye karata zakeMkuu huwezi kujadili huu mjadala na vijana ambao wamekaa kishabiki. Hapo umemueleza kwa undani ili atafakari, akija hapa atakupinga mno.
US na baadhi ya nchi za NATO zile Top zimemtupa mbali Russia kiuchumi. Hizo gharama kupanda sidhani kama ni ishu kubwa kwao. Pia vile vile US kwa kuwa anaingiza bidhaa sokoni, na anataka kumkomesha Russia, bei lazima iwe ya kawaida.
Mimi sioni kama kuna shida kubwa endapo US na NATO wakaazimia hili. US na Europe wana pesa aiseee, sio wajinga wale.
Kati ya mfanya biashara, yaani muuzaji na mnunuzi, anayeumia zaidi ni muuzaji. Sasa hapo ni mafuta tu, bado sekta za uwekezaji n.k Russia kuna mahali hajakaa sawa ktk hili.
Wanajibu hawaliii dola ndio itumike aende akawauzie wachina Putin ailaumu idara yake ya Mambo ya njeeEU waache kulialia, kwani wameshikiwa mtutu wanunue gesi ya Russia?!
Waende Mtwara wakanunue gesi kwa hayo ma-Euro/USD yao!