Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Urusi hawezi kushindana na dunia, dunia haiwezi kushindwa kuungana na kuja na altenative solution.Hii ngoma bado mbichi Putin anapiga kwenye moyo vizuri Sana ,ngoja tuone mwisho wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi hawezi kushindana na dunia, dunia haiwezi kushindwa kuungana na kuja na altenative solution.Hii ngoma bado mbichi Putin anapiga kwenye moyo vizuri Sana ,ngoja tuone mwisho wake
Assad alishawaambia USA hainaga msaada na mtu.Hawamkumsikia.Jamaa hawana umeme maji chakura ila nato wanawapelekea vifaru[emoji88] mabeberu noma sana
Assad alishawaambia USA hainaga msaada na mtu.Hawamkumsikia.View attachment 2165002
Acha bangi mkuu, kumbuka Marekani hana gas ya kutosha kufidia gap la Urusi... Pia gas ya America ipo mbali na endapo akitaka kuiuza Ulaya, basi itabidi apakie kwenye matenki kitu ambacho kutasababisha ifike Ulaya ikiwa imepanda gharama mara dufu.Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Na Biden amewaambia Ulaya miundombinu ya kuifikisha gesi ulaya itakamilika 2030.Acha bangi mkuu, kumbuka Marekani hana gas ya kutosha kufidia gap la Urusi... Pia gas ya America ipo mbali na endapo akitaka kuiuza Ulaya, basi itabidi apakie kwenye matenki kitu ambacho kutasababisha ifike Ulaya ikiwa imepanda gharama mara dufu.
Urusi yeye anacheza na koki tu
Acha kusikiliza propaganda za mataifa ya magharibi
Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi taratibu wameanza.. tatizo la Putin, ni nguvu, akili anatumia kidogo sana..Wakanunue huko sasa kama wanaweza
Pro America hawaelewi hili maana wao ni kama nyumbu wa NgorongoroNa Biden amewaambia Ulaya miundombinu ya kuifikisha gesi ulaya itakamilika 2030.
2030 ni kesho tu chief.. kwa sasa watakuwa wanauza kwa meli n.k gharama lazima zipande, hizo ni cost ndogo sana kwa NATO, kwahiyo miaka 8 kuanzia sasa soko la gesi la mrusi kwa Ulaya linakuwa limekwisha hasara kwa nani? Unajua ni kiasi gani Russia anawategemea ulaya kuuza gesi yake? Unapima kweli chief long term effects ya hiki kitu?Pro America hawaelewi hili maana wao ni kama nyumbu wa Ngorongoro
40% ni mrusi so tusubiri tuoneunahis alternative ya gesi ni urusi tu ?
Kwa meli? Au kwa njia gani? Uwe unafukira zile ni siasa.. gesi ya urusi kua replaced sio chini ya miaka 8Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.
Source: BBC
What ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za westKwa meli? Au kwa njia gani? Uwe unafukira zile ni siasa.. gesi ya urusi kua replaced sio chini ya miaka 8
Na mambo ya kushikilia mali zao nao yakitoka wapi?Russia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.
Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.
Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.
Watake ama wasitake gesi watalipia tu kwa Ruble hawana namna, wameweka vikwazo zaidi ya 1000 mwanaume kaweka kimoja wote wanaanza kulialia hapa na kutia huruma. Wasipolipa jamaa anafubga koki na hapo ndipo watatuma wake zao na watoto wao kama malipo ya gesi Urusi[emoji1787]Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua gesi kwa sarafu ya Kirusi, huku akimshutumu rais huyo kuwa mwenye nia ya kutaka kuvikwepa vikwazo alivyowekewa kutokana na uvamizi wake wa Ukraine.
Macron aliwaambia waandishi wa habari baada ya Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Ulaya wa mjini Brussels kwamba hatua ya Urusi haipo katika makubaliano na haoni sababu ya kutekelezwa kwa jambo hilo. Rais Putin alitoa takwa hilo juma hili katikia kipindi hiki ambacho serikali yake inakabiliwa na vikwazo vikali vinavyoathiri uchumi wa taifa hilo, kutokana na hatua yake ya kuingia kijeshi nchini Ukraine.
View attachment 2164574
Source: DW
Mkuu una uhakika dunia ndio hiiDunia Yenyewe ndyo Hii.??View attachment 2164823
Kupata gesi sio shida.....hilo hata hao ulaya wanajua hilo shida ni kupata gesi kwa gharama ile ile ambayo waliku wanaipata toka kwa mrusi......gesi ya kusafirishwa na meli sio sawa na gesi ya kusafirishwa na bomba........hapo logistics tu zinapandisha gharamaRais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.
Source: BBC
Vilainishi mnataka?What ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za west
Urusi hawezi kushindana na dunia, dunia haiwezi kushindwa kuungana na kuja na altenative solution.
Haha wanaumia wananchi wa haohao wa west gharama za maisha zikipanda wanaumia wananchi wao na wala sio putinWhat ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za west
Ujui yanapotoka eeh Kwan si umesusia bidhaa za urusi si ususie na gesi unashindwa nn, umemzuia asitumie dollar wala Eur kwa nini umpe makaratasi hayo hayo asiyokua na matumiz nayo ? Sasa hutaki wanaume wanakaza coke tu halafu tuone hizo terms unazozizungumzia Kama zinauwezo wa kufunguaRussia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.
Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.
Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.
Hii game lazima ukubali kwa kupimana ubavu wamagharthawawez watabaki kulia lia tu na kuona wameonewa kukimbilia mkataba bc unapiga kampen URUSI itengwe halafu unachagua sehem ya kuitenga itenge yote Kama kwel we kidumeRussia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.
Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.
Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.