wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Urusi hawezi kushindana na dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Urusi hawezi kushindana na dunia
Mwenye pesa kagoma nani zaidi kati ya mwenye mali ya kuuza na mwenye pesa ya kununuaMwenye mali ndio kashaamua kama hawataki wakanunue kwengine
Japan kawekewa vikwazo Ile juzi,anaanza kulia Lia eti hakutegemea Russia angechukua hatua hizo.Walioweka vikwazo hawataki wawekewe vikwazo [emoji16][emoji16]
Kwenu USA hua mkimaamisha Dunia mnajua eti Ni hii hapo [emoji116][emoji116][emoji116]Urusi hawezi kushindana na dunia
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huo ni ufaller tu, una vikwazo lukuki halafu nawe unaongeza vikwazo?
Hajui kuwa anawafanya wateja watafute mbadala kwa gharama zozote?
Fursa gani na hili jembe letu la mkono.Umenena vyema, russia kutaka malipo yawe kwa ruble maana yake anataka aipe thamani pesa yake ktk uchumi ambae anaona mbele utamsumbua zaidi na sio kwamba anaikomoa NATO.
Mambo yakienda hivi, uchumi wa NATO na Russia utatetereka mno apo mbeleni, sijui kwanini Africa hasa TZ tusitazame hizi fursa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walivyo freeze pesa na gold za Warussi huko kwny nchi zao hawaongelei kabisa Kama hapo Kuna suala la mikataba kuheshimiwa au la.Leo ndio mnajua mikataba inatakiwa iheshimiwe ,vipi kuhusu Minsky agreement hiyo haitakiwi kuheshimiwa?
Anaongea genius kutoka buza .anae wazidi akili mabepari na kuwaza njee ya boxKama Hawataki kununua waache.... Tuone kama wataweza kuishi japo dakika 20 bila gas...wajinga sana wao wakiamua kukata Swift mbona hawasemi kuna mkataba?
Biden anakwambia miundombinu ya kufanikisha Hilo itapatikana 2030.
Huku mtaalam kutoka UPONGOJI akibishana na wataalam wa IMF.Anaongea genius kutoka buza .anae wazidi akili mabepari na kuwaza njee ya box
Sent using Jamii Forums mobile app
na kama naye mrusi kuvunja mkataba wa dolla kwa maslahi ya nchi yake kwa nini ampige ukraine kuvunja mkataba ambao wameuweka baina yao ?vipi kuhusu Minsky agreement hiyo haitakiwi kuheshimiwa?
Hapo lazima Putin anune tenaNdio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Dunia Yenyewe ndyo Hii.??Urusi hawezi kushindana na dunia
Nani amelalamika? Kupuuza sikuizi Ni kulalamika?? Kweli Kiswahili kinakuaWanalalamika nini sasa, si waende kuchukua kwingine hiyo gesi, waachane na gesi ya rubo!
Mwenye pesa kagoma nani zaidi kati ya mwenye mali ya kuuza na mwenye pesa ya kununua
Hiyo gesi warusi ajiandae kuinywa wenyewe
Tayari Marekani mzalishaje gesi namba moja duniani anawapelekeaBasi wakanunue kwengine
Habari za mchana mkuu.Nani amelalamika? Kupuuza sikuizi Ni kulalamika?? Kweli Kiswahili kinakua
Tayari Marekani mzalishaje gesi namba moja duniani anawapelekea
Ka Google nchi gani inaongoza kwa uzalishaji gesi duniani ya kwanza ni Marekani ya pili ni Urusi. Na mmarekani kamuacha mbali mrusi kwenye uzalishaji gesi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] wewe shabiki maandazi