Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Habari za petrodollars zimeishia wapi. Watu wa magharibi wakiongozwa na USA ni wa hovyo sana, walipofunga swift, màlstercard na visa card wao walifiki russià imelala??
Kuwa na akiba ya maneno
 
Video: Jana Russia imetumia makombora ya kruizi aina ya Kalibr (yaliyovurumishwa toka kwenye meli yake) kushambulia na kuangamiza bohari ya silaha na hardware kwenye mkoa wa Zhytomyr uliopo kaskazini magharibi mwa Ukraine

Makombora hayo (Kalibr cruise missiles) hurushwa toka kwenye meli, nyambizi au ndege kushambulia tageti anuai zilizopo nchi kavu au kwenye maji. Pia baadhi ya sampuli za makombora hayo, huweza kutembea mwendo mkali zaidi ya sauti ktk hatua yake ya mwisho ya urukaji, na kufanya kuwa vigumu sampuli hizo kuzuiwa na mifumo ya ulinzi ya anga la adui

 
Waziri Mkuu wa Hungary ampiga nyundo Zelensky, amwambia Hungary ipo upande wa Hungary (na WaHungary). Jibu hilo kapewa Zelensky baada ya kumwambia Waziri Mkuu huyo wa Hungary achague upande ima wa Ukraine au Russia ktk mzozo unaoendelea.

Screenshot_20220327-070211_Chrome.jpg
Screenshot_20220327-070345_Chrome.jpg
 
Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Marekani anajikosha ni swala la muda tu watarudi wenyewe kwa mlango wa nyuma. Uwezo wa Marekani ku supply gasi hautafika hata miezi minne. Marekani ata supply 15% ya gas yote inayohitajika hio 85% nyengine nani atatoa?
 
Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuone
Kwa hiyo mkuu unaamini kabisa mrusi kakurupuka tuu, hakukokotoa chochote kabla ya kulianzisha??...madhara yatokanayo..??.. Hii vita ukiichimbua sana ni ya US na URUSI (kiuchumi na kuutafuta ukiranja wa kidunia kwenye u'super power)
Kwa hiyo kilichopo "nikabe koo(shingo), me naminya pumbu"....atakaeumia atagonga meza....
 
Qatar karudia kusema ni uamuzi wa kijinga kuachana na gesi ya Urusi kwa nchi za ulaya na zaidi ni kitu kisichowezekana kufidia gepu la 40℅ ya gesi kwenye soko la dunia si kwa Leo wala kesho HAIWEZEKANI.

Putin ni simba mwenda Pole, uchumi wa dunia unaenda kutikiswa kwa kiwango kisicho elezeka.
Pia wajue kuna mataifa kama India bado imeenda kununua zaidi ya mapipa million 3 kwa punguzo la asilimia 20 hadi 25 kwa Rupee.... US asipoangalia US $ inaenda kuwa challenged....
 
Russia lazima iheshimu terms of contract ambayo inasema malipo yatafanywa kwa sarafu za dola/euro/pound, period hayo mambo ya sijui ruble yanatoka wapi tena.

Kama anavunja mkataba kuna gharama yake vilevile ya kulipa damages for the breach of contract gharama ambayo kwa hali yao ya sasa hawawezi kumudu kulipa.

Putin anajaribu bila mafanikio kuokoa sarafu yake isiporomoke lkn hana jinsi kwani ameshashika mavi lazima awe mpole, uchumi lazima uporomoke tu.
Hapa sio mikataba tena ni mwendo wa vita na kuwekeana vikwazo tu.....
Kwani hivyo vikwazo NATO walivyo muwekea Urusi vipo kwenye mkataba.....?
Nachokiona walitamani kuona Mrusi ananyoosha mikono, sasa maumivu ya vikwazo walivyomuwekea Mrusi yanarudi hadi kwao.....
 
Kwa hiyo mkuu unaamini kabisa mrusi kakurupuka tuu, hakukokotoa chochote kabla ya kulianzisha??...madhara yatokanayo..??.. Hii vita ukiichimbua sana ni ya US na URUSI (kiuchumi na kuutafuta ukiranja wa kidunia kwenye u'super power)
Kwa hiyo kilichopo "nikabe koo(shingo), me naminya pumbu"....atakaeumia atagonga meza....
Mkuu vita yoyote ile ni two way cost, hata anayeshinda kuna gharama lazima aingie, Putin sio mjinga ni jasusi na bobezi la kutupwa, Ukraine ni mbuzi tu wa sadaka ukitegemea raisi wao ni kibaraka wa NATO, je waliyajua haya na ndio maana wakamweka hapo na kweli yametokea Putin kaingia? Tusubiri muda ni mwalimu mzuri tu chief
 
Soma vizuri Macron amempuuza, Marekani jana rasmi ametangaza kuziba hilo gape kwa aliyekuwa anamtegemea Putin na gesi yake, mzigo utatoka marekani, ni vile Putini amepigwa katafunua kwenye hii biashara ya gesi kwa nchi za ulaya
Atafidia vipi wakati na US nako wanaugulia kupanda kwa gharama ya nishati....
US ni muhuni anatakakufanya biashara kwa kuwauzia Ulaya nishati. NATO washapigwa chenga na USA na sasa wameangukia mikononi mwa USA..... [emoji1787]
 
Mkuu vita yoyote ile ni two way cost, hata anayeshinda kuna gharama lazima aingie, Putin sio mjinga ni jasusi na bobezi la kutupwa, Ukraine ni mbuzi tu wa sadaka ukitegemea raisi wao ni kibaraka wa NATO, je waliyajua haya na ndio maana wakamweka hapo na kweli yametokea Putin kaingia? Tusubiri muda ni mwalimu mzuri tu chief
[emoji1][emoji1]
Screenshot_20220326-212320.jpg
 
Humu watu mnajadiliana Kama walevi
1.Ulaya wanaitegemea Russia kwa gesi mno kwani ni rahisi na Kuna bombs zimetawanywa Europe gas inafika kwa pipelines.
Ili marekani apeleke gas inabidi asafirishe kwa meli na asambaze kwa meli huku akipitisha gesi maeneo hatari ni gharama kubwa zaidi ya Mara 8 ,compared to Russia.
2. Russia kabla ya hii Vita walishacalculate risk zote na benefit,wakaona ukiiwekea vikwazo Russia , unaiua Ulaya yote kiuchumi kwa fuel na gesi baada ya muda Europe wataachana na vikwazo kwani nchi zao hazitatawalika.
1. Ni kweli usemalo chief, ila kuhusu gharama hizi nchi usiziwekee kabisa hiyo reason.. wako stable mno, bajeti tu ya ulinzi ya marekani ni zaidi ya mara kadhaa ya nchi zingine, hapo unazungumzia ulinzi tu, na kumbuka NATO ni US iko wazi, wataingia gharama yes ila hawashindwi ku supply hiyo gas kwa hizo reasons umesema sijui maeneo ya hatari na pesa nchi nyingi na maeneo mengi inakopita hiyo gas kwa meli ni vibaraka wao hiyo ni fact kabisa labda useme vikundi vya kigaidi tu sio nchi kama nchi, kuhusu kuitegemea Russia kwenye gas 100% nakubaliana na wewe kabisa na kingine kumbuka wakifanikiwa kwenye hili la gas Russia anapoteza kabisa soko ulaya, tusubiri muda

2. Putin ni jasusi bobezi, mzoefu na ana akili si mjinga aingie bila kuwa na plan, ni nadra sana kuona hizi nchi za Europe zikichutama mkuu, ngoja tuone lolote laweza kutokea
 
Marekani ana take advantage ya kuuza gesi kwa wahisani wake wa ulaya badala ya urusi., watu wako vizuri kwenye vichwa vyao Putini hatakuwa na soko tena kwa ulaya labda India na china, ulaya pekee urusi alikuwa anapata 47% sasa ni 0%., tafakari anayeumia ni nani?
Ndio nilichokuwa nawaambia wadau juu pale, lengo ni kumpunguza nguvu kiuchumi Russia na watafanikiwa, muda utasema. Atabaki kuwauzia India na China wanachukua soko lote
 
Back
Top Bottom