Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Mimi huwa nachangantikwa ikiwa mrusi ameondolewa kwenye switf ulaya wanafanya transaction kwa njia ipi hiyo
Unafiki wa USA na vibaraka wake hua uko hapo kwny'' but the sanctions have left energy largely untouched ''.
Screenshot_20220327-135645.jpg
 
Kwamba yeye Putin kwa hio miaka 8 atakuwa hajapata wa kumuuzia tu! Kenge kweli nyie 😂 siku zote mwenye nguvu ni mwenye mzigo na ndio maana hata mafuta ya kula bei mnapangiwa wanavyotaka wafanyabiashara na mtanunua tu amna namna
Putini akikusanya 47% kwa ulaya sasa atazipata wapi, ivi ataweza kurudisha uchumi wake kwa kuuza gesi India, china na Iran??
 
Swali hapa ni kwamba Marekani anayo gesi ya kutosha kuwahudumia raia wake na ya kuuza ulaya??
Ata kama si kwa 100%, lakini itakidhi halafu miachakato inaendelea kwa nidhati mbadala lakini jana Zelensky amefanya mazungumzo na Qatar alikuwa live kuhusu Qatar ku-take advantage badala russia ambayo imeekewa vikwazo na kuachana na gesi yake
 
Unachosema ni kweli, lakini ni lini ulaya itaacha kutumia gesi ya urusi? Kumbuka 40% ni gesi ya urusi pale ulaya.
Je USA ata supply gesi kwa mazingira gani? Je ni meli? Je atajenga bomba? Vyovyote itavyokua, gesi hiyo itakua gharama kubwa mno. Kumbuka kua nchi za kibepari zinaangalia interest, itakua ni ngumu kumfurahisha US wakati wananchi wa ulaya wanaumia na bei.
Ukiacha siasa na media propaganda.. ni ngumu kupata mbadala wa gesi ya Russia kwa miaka 10 ijayo.
Miaka 10 kupata mbadala wa kile mlichokijengea mifumo kabisa ni ngumu. Ila tegemea chokochoko kama hizi huwa zinamuamsha mtu usingizini. Hata miaka 15 mbele ujue tu unatafutwa ufumbuzi ili aither kupatikane mbadala wa gesi (wanasayansi kazini)au itengenezwe hata miundombinu hata ikibidi watatoa gesi Africa. Hiyo hata kizazi kijacho kitamalizia hiyo kazi
 
Sasa ulitaka aendelee kuwalamba matako Marekani? Hata angefanya hivyo wangeishia kumuua tu kama Sadam Hussein kwa visa vya ajabu wacha akiwashe tu afe kiume.
Anakufa kiume kweli jamaa wanamfata huko huko Donabas, Kyiv kachomoa baada mashambulizi ya hatari watu wake kibao kuuliwa hadi cream ataitema
 
Naule wa Nord Stream 1 nawenyewe umesimama pia nasikia
Huo Stream 1 Putini sasa kataka alipwe rouble pesa ya russia, jamaa wamemjibu kw kebehi kweli kweli wameshapata mbadala wa gesi na sio kwake tena akafie mbele huko
 
watu wameshaanza kuwasha mamitambo ya makaa ya mawe na nuke wakishastabilize wanaanza kuja kutoboa miamba Africa huku kwa kina January Makamba..
 
Huo Stream 1 Putini sasa kataka alipwe rouble pesa ya russia, jamaa wamemjibu kw kebehi kweli kweli wameshapata mbadala wa gesi na sio kwake tena akafie mbele huko
Hahaha we jamaa unajua kuchamba,bila shaka ni mzaramo. Uchumi haununiwi hivyo, yale ni maisha ya watu. Watake wasitake watanunua. Labda after 5 yrs
 
watu wameshaanza kuwasha mamitambo ya makaa ya mawe na nuke wakishastabilize wanaanza kuja kutoboa miamba Africa huku kwa kina January Makamba..
Kwaiyo lile swala la uchafuzi wa mazingira na anga ni uongo, hata wafanyaje bado wanahitaji gesi ya Urusi tu. Ngoja iendelee kunyesha tujue wapi panavuja
 
Kwani hizo nchi za ulaya zote population yao ikoje ukilinganisha na hizo nchi mbili India na china? Kwa sababu inaonekana huelewi nini maana ya biashara
Iran wenyewe hoi bin taaban labda wabadilishane bidhaa Iran watoe tende na maziwa russia wawape gesi, hamna kitu mkuu china bwana wake ni marekani, India hataweza kuziba soko la ulaya kwanza mrusi kamshushia bei anamuuzia gesi kwa bei ya kutupa baada kukosa soko la ulaya
 
Ndio imeishaamua kutokuziheshimu hizo terms
Mnataka tuoni RUBO hamtaki pikieni MKAA
RUSSUA sio ZIMBABWE
Rubo = Ruble. Kwa mazingira ya sasa ya biashara ya nishati, Russia anazihitaji nchi za magharibi zaidi ya wanavyomuhitaji yeye.
 
Iran wenyewe hoi bin taaban labda wabadilishane bidhaa Iran watoe tende na maziwa russia wawape gesi, hamna kitu mkuu china bwana wake ni marekani, India hataweza kuziba soko la ulaya kwanza mrusi kamshushia bei anamuuzia gesi kwa bei ya kutupa baada kukosa soko la ulaya
Hivi ww jamaa una akili kweli au chenga?

Pamoja na kujifanya mjuaji kumbe huna lolote mpaka unashindwa kujua ya kwamba Iran ni kati ya wasafirishaji wakubwa wa gesi duniani sasa anunue gesi kutoka Urusi ya kazi gani?
 
Back
Top Bottom