Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Ulaya wamepigwa kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Leo ndio mnajua mikataba inatakiwa iheshimiwe ,vipi kuhusu Minsky agreement hiyo haitakiwi kuheshimiwa?
 
Hii ngoma bado mbichi Putin anapiga kwenye moyo vizuri Sana ,ngoja tuone mwisho wake
Soma vizuri Macron amempuuza, Marekani jana rasmi ametangaza kuziba hilo gape kwa aliyekuwa anamtegemea Putin na gesi yake, mzigo utatoka marekani, ni vile Putini amepigwa katafunua kwenye hii biashara ya gesi kwa nchi za ulaya
 
Ulaya wamepigwa kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Marekani ana take advantage ya kuuza gesi kwa wahisani wake wa ulaya badala ya urusi., watu wako vizuri kwenye vichwa vyao Putini hatakuwa na soko tena kwa ulaya labda India na china, ulaya pekee urusi alikuwa anapata 47% sasa ni 0%., tafakari anayeumia ni nani?
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
 
Em tueleze Tanzania unategemewa na dunia kwa kuuza nini vile? karafuu et?
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
 
EU waache kulialia, kwani wameshikiwa mtutu wanunue gesi ya Russia?!

Waende Mtwara wakanunue gesi kwa hayo ma-Euro/USD yao!
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

BBC
 
Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Kama ni kweli basi habar hii ni mbaya mno kwa Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

BBC
Waulize EU, sasa kwa nini wanalialia kuhusu kuambiwa kulipia gesi ya Russia kwa rubles?!

Si wakanunue ya marekani?!

Au hapo hujaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…