MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Wee
Kazuia chanjo halafu covid imemtandika vilevile.
Wee Mama acha kujidhalilisha kwa kumuongelea huyo kichaa..huoni aibu??BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.
Maendeleo hayana vyama!
Kazuia chanjo halafu covid imemtandika vilevile.