CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Haji Manara ameonekana mchana huu akiwa amekunywa na anafuraha sana,na siku hizi Yanga wakifanya vibaya huwa anakunywa na kujirusha sana sasa sijui hii sherehe ya mchana huu inaashiria nini kwa ndugu zetu wa Utopolo