Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ile inatokana na sabuni wakati wa kuoga maji yenye usabuni huchuruzikia huko na kukaukia hapo, dawa yake ukioga jisuuze vizuri na kupakaa mafuta kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…