KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Pumbu linakua linajivua magambaYap, coz ngozi Huwa inakakamaa na kuanza kumenyeka kama nyoka,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbu linakua linajivua magambaYap, coz ngozi Huwa inakakamaa na kuanza kumenyeka kama nyoka,.
😂😂😂😂Sembe chakula ya wanaume w darAisee watu nibwasiri sana. Kumbe kuna watu huwa mnatoa sembe kwenye uvungu wa matako halafu hamtuambii?
Hahha😂😂😂🌚Kijana wangu kaja na hiyo shida ASB kumbe Uzi ulikuwa unasukwa sukwa, deal done
Yan Mtoto wa kiume ukojoe alafu ujifute na tissue 😂😂😂😂😂na wakat wa kumaliza kukojoa tutumie tissue???????
Ooooh kumbe....Vizuri nimeona effects kwa mtu aliyekuwa mpenzi wangu akatibiwa na akaaa mbali na hizo kinga sio kioa kitu ni maradhi ya azinaa
🙄🙄🙄Duh umenishinda tabia huu Uzi ata ww utakua uko nao sema husemi tu😂😂Ndo mana mama anasema uoe kaka
Yani puumbu size ya nyanya sema unga kilo nane
hahaha ndo maana ilibid nihoji vzr huenda huyo alikosea kuandikaYan Mtoto wa kiume ukojoe alafu ujifute na tissue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu bwana masiala mengi kumbe useriously hamna kumbe mtu anakufa uko😂😂Yan Mtoto wa kiume ukojoe alafu ujifute na tissue 😂😂😂😂😂
Wapenda kondom huu ni uvumbuzi mpyaOoooh kumbe....
Hivyo itabidi tuchunguze sana haya mafuta..
Daaah wee unapakaga au..?Yap, coz ngozi Huwa inakakamaa na kuanza kumenyeka kama nyoka,.
Sasa WWE ugonjwa wako mkubwa chief 😂Daaah wee unapakaga au..?
Wanaonekana kabisaWapenda kondom huu ni uvumbuzi mpya
Anapaka lakini....Sasa WWE ugonjwa wako mkubwa chief 😂
oh oh !😬Joto+ jasho+ nguo za kubana na nzito + mavuzi marefu + uchafu + kutokuoga = fangasi sugu na muwasho.
Ile inatokana na sabuni wakati wa kuoga maji yenye usabuni huchuruzikia huko na kukaukia hapo, dawa yake ukioga jisuuze vizuri na kupakaa mafuta kila sikuJamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Nenda hospitali watachukua vipimo na watakutibu nakukushauriSasa ushauri wako nini
Ndio inaleta fungusOoooh kumbe....
Hivyo itabidi tuchunguze sana haya mafuta..
How!!?Kumbe mwanaume
Watu mmekazia mambo ya mafuta khaaaa 🤓🤓🤓😂😂😂😂😂Ukimaliza tiba pakaa futa la Nazi hizo kende.