Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

1. Sabuni unayoogea
2. Mafuta au Lotion unayoyapaka
3. Boxer unazovaa
4. Usafi wa mwili unaoga Mara ngapi kwa siku?
5. Usafi wa boxer unazovaa hua unavaa Mara ngapi kabla ya kufua?

Kaitafute kwenye hayo Mambo hapo
Sabuni natumia rungu,mafuta Vaseline ya mgando,boxer sivai , kuoga max2perday suruali zenyew navaa siku mbili tu sasa shida apo nini naitaji kujua resources
 
Baasi imetosha kuna watoto humu...
 
Weeee usinambie chief kwaiyo ukali unakwenda kuisha kabisaπŸ€™
Kitambo sana bwana mmoja akiitwa "Dr. Isaac Ndodi" alikuwa mbobevu wa maswala ya tiba asili na alikuwa na kipindi chake kikirushwa kwenye televisheni kila siku!... na ndo mtu pekee huwa namuamini kwa sababu nina idea ya maswala ya tiba asili... ingawa sikumaliza masomo, nilikula za uso. Kila alichokuwa akifundisha ni kweli! Dawa rahisi ya fungus za sehemu za siri ni kunyoa nywele zote na kupakaa ndimu au limao kote! Fululiza kwa siku 3-7... utapona kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…