Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Mbona wewe unanuka kisamaki..
 
Fangasi hizo. Ukioga chukua taulo futa korodani vizuri, hamna haja ya dawa. Baada ya siku chache utapona vizuri tu.
 
Yan Mtoto wa kiume ukojoe alafu ujifute na tissue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana mnanuka na fungus jero mwanaume ukojoe umechutama na unawe na maji na ujikaushe na toilet paper huyo ndo mwanaume Sasa sio kukojoa wima kama MBUZI dudu lanuka jasho mikojo joto la chupi za bei rahisi 😁 hatari
 
Ukipenda unaita Puumbu erosion
 
FYI.

Carrier wa fangasi sio mwanamke pekee, hata udongo unaweza kukupa fangasi, fungi anaishi popote na unaweza kumpata popote.

Nataka kusema hivi, umempotosha mwenzio, inawezekana kabisa akaacha kabisa kukutana na wanawake na akaendelea kusumbuliwa na fangasi.

Taarifa ya muhimu uliyompa ni hiyo ya kutokukutana na mwenzie hadi apone/tibiwa wote.

Tutoe taarifa sahihi sababu haujui anayeipokea ni wa aina gani na anaweza kufanya nayo nini.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…