Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ndo maana mnanuka na fungus jero mwanaume ukojoe umechutama na unawe na maji na ujikaushe na toilet paper huyo ndo mwanaume Sasa sio kukojoa wima kama MBUZI dudu lanuka jasho mikojo joto la chupi za bei rahisi 😁 hatari
Eeeh Yan mwanaume ukojoe umechutama duuu unatania au upo serious 😳.. kama unamtoto wa kiume nataman nimwoneπŸ˜‚
 
Unataka kusema candidiasis ni sexually transmitted?
 
Tiba asili na ya science ipi bora?? Maana asili wengi huwa ni waongo
 
Eeeh Yan mwanaume ukojoe umechutama duuu unatania au upo serious 😳.. kama unamtoto wa kiume nataman nimwoneπŸ˜‚
Na WATOTO wa kiume 3 na toka wadogo nimewafundisha wakojoe kwa kuchuchumaa wasikojoe wima kama wanyama na wakimaliza wakoshe utupu wao wanae mikono,sababu Muslim mkojo ni najisi na hawezi kusali na mikojo,ukikojoa wima lazima mikojo ikurukie tu miguuni na mkojo wa mwisho lazima umwagike kwenye chupi na pants πŸ‘–πŸ©³
 
Oya Santana Uvinza mwingi baba.
Siajabu hapo suruali mifuko yote umeitoboa Upige gitaa vizuri.
Gita unaliwashia kushoto kulia una kazia.
 
Tiba asili na ya science ipi bora?? Maana asili wengi huwa ni waongo
Akili huna! Huna unachokijua... nikueleweshe kidogo tu kwamba hayo mambo ni interchangeably! Yanategemeana

Kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, baada ya kuona au kusikia asili... ukahisi ni uganga

Mche mola wako we kilaza πŸ˜…
 
Wonderfully enough , hiyo ngozi ukiwa unaipikicha pikicha kunacho , inakupa raha mustareheee kama ukiwa unakula mbususuuuuuuuuuuuu mpaka una piziiiiiiiiii
 
Wonderfully enough , hiyo ngozi ukiwa unaipikicha pikicha kunacho , inakupa raha mustareheee kama ukiwa unakula mbususuuuuuuuuuuuu mpaka una piziiiiiiiiii
Hii sasa maadili yashakua yakishubwada watu wanaweza kujaa nakufikiria mbususu hii inapelekea utendaji kazi kuwa mdogo ubunifu kuisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…