Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Midomo ndiyo iliwaponza Makolokolo SC fans, mara oooh JKT Watoto, Oooh KMC ni Wabovu, hatimaye kilichowakuta Mbumbumbu SC fans ni aibu ya muhongo [emoji1732][emoji16]Ukiifunga Simba ndiyo umekuwa umecheza Champion League na African Super Cup.
Ndiyo maana ushindi wenu mlisheherekea sana. Timu ndogo na changa duniani kisoka ndiyo hufanya kama Yanga kuweka mabango
Unaifunga timu 5 - 1 halafu unaenda kupigwa 3-0. Sasa hapo utasema una kiwango? Ungefungwa sana ni 1-0 au 2-1.
Sawa utopolo.
Kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina. Kule kwao ilikuwa mapumziko yaani hakuna kufanya kazi kusheherekea ushindi wa kuifunga Argentina.Highlights za 5-1 za Yanga zunanoga bhana, hakuna kadi nyekundu 2, hakuna penati 2 wala hakuna mbeleko ya kuwanyima penati Yanga kama ninyi mlizowanyima Yanga juzi ilibidi mkandwe 6-1.
Marehemu alikuwa na mdomo sana [emoji851]View attachment 2824530
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nanyie utopolo jipen moyo mtakuwa kama ArgentinaKombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina. Kule kwao ilikuwa mapumziko yaani hakuna kufanya kazi kusheherekea ushindi wa kuifunga Argentina.
Wala sishangaii yanayoendelea Yanga
Ila aliyekula mkono wa nyani je?Sawa baki hapo hapo NBC. Mlipoifunga Simba 5 kwa 1 mlitegemea nao mtawafunga 5? Ila hongera! Jana mecheza mpira sana
Al Ahly naye anakuja kupiga kwenye mshono 4-0
Kwanza hao CR hawajacheza fainal ya shirikisho wala haina medali kwahiyo wasiwababiishe
Wewe unamchukia G? Mwenzio simchukii bali namdharauNa naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0?
Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba tunamchukia (nami nikiwemo) na Kazuiliwa Kuchangia Jukwaa hili la Michezo ila kiukweli Jamaa Kabarikiwa Talanta ya Kipekee na Mwenyezi Mungu ambayo wengi wetu hatuna na huenda ndiyo maana hata tunamchukia kwa Wivu, Roho Mbaya zetu na Kukubalika Kwake sana hapa JamiiForums.
Huo Uzi aliuanzishia katika Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko pengine kutokana na kuzuiliwa Jukwaa la Michezo ila kwa sasa nautafuta siuoni hivyo naomba aliyemuona anitagi tafadhali.
Salute mno tu Kwako GENTAMYCINE.
Mpige mazoezi sana mje uifunge Simba magoli 10 uweke rekodi.Nanyie utopolo jipen moyo mtakuwa kama Argentina
Sawa.Ila aliyekula mkono wa nyani je?
Sikuwahi kujua kumbe nawe ni Mpumbavu, Mswahili na Mnafiki hivi. Kwahiyo nawe Unaamini kuwa Mimi au hii ID yangu ni ya huyo Mume au Basha wenu GENTAMYCINE? Halafu umesema kuwa huenda Cognizant nikawa Nawahonga au Nawapoza Moderators je, Ukiadhibiwa au ukiambiwa utoe Ushahidi ili Usiadhibiwe kwa BAN utaitoa? Nimekudharau kuliko ujuavyo na uwazavyo.Usiwafundishe moderators kazi yao,ukiona wako kimya ujue anawapoza.