Last_Joker
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 272
- 414
😆😆😆 kila kitu hadi masikio makubwa bwashee?Vip tunaokunywa kila siku mkuu-mnatuweka kundi gani?
Ila punguzeni wivu...tumewazidi kila kitu nyie wapiga majungu.
Wanywa vyoda wana hasira soda 500 chupa moja bia moja 5000 mpaka 10000 na mtu anakunywa 8 lazima povu litoke😅Mtu anasaka pesa yake mpo kimya, anaipata mnaleta ushauri, kwanini kuingilia starehe ya mtu, ilhali yeye haingilii yako.
.....aahahaaaaaa hawa jamaaa wana chuki na wapiga gambi utafikiri wanatulelea familia zetu mkuu😆😆😆 kila kitu hadi masikio makubwa bwashee?
Sisi tule vitu tu bwashee, wateme......aahahaaaaaa hawa jamaaa wana chuki na wapiga gambi utafikiri wanatulelea familia zetu mkuu
halafu wana maisha magumu utwaonea huruma.Mtu anasaka pesa yake mpo kimya, anaipata mnaleta ushauri, kwanini kuingilia starehe ya mtu, ilhali yeye haingilii yako.
Mimi sinywi pombe, nikiwa na stress naagiza fanta kreti zima. Mtu yeyote mwenye wivu kwa wanywa gambe huyo ni Kaka yake shetaniKujipa stress tu
Mkuu unao ugonvi na sisi wapiga tungi kwani?😂😂😂Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu?
Maisha Magumu, Weekend Iwe Tamu
Let’s be real – maisha yanakandamiza! Kodi, madeni, pressure za kazini/vibaruani, kutopata ajira, mapenzi yanayovunjika ovyo… so ikifika wikiendi watu hawataki kusikia kitu chochote cha “serious.”
Ni muda wa kubadilika – kutoka kwa mtaabikaji wa wiki hadi "Mr. Enjoyment" wa usiku wa manane. Wengine wanatumia hiyo kama healing, wengine kama kiki, wengine kama kimbilio.
Lakini Vipi Wale Waliozidi Dozi?
Unakuta mtu kila weekend lazima alewe, lazima apotee hadi aokotwe. Ni kama kulewa ndio stress-reliever ya pekee aliyobakiza. Ukimuuliza anasema, “Bro unajua stress zangu?”
Lakini je, hii ni furaha au ni temporary escape tu?
Je, tunaburudika au tunaji-stress bila kujua?
Kunywa Kistaarabu au Kuwa Mlevi Mbwa?
Kulewa kila week ni kama kuwa na mpango wa kudumu na pombe. Haina tofauti na kuwa addicted.
Kama ni furaha ya kweli, kwanini ifuatiwe na hangover kali, kupoteza vitu, au kujikuta ummetext ex wako?
Na cha kushangaza zaidi – wengi wanapenda ile attention wanayoipata wakiwa wamelewa… “ulevi unatoa confidence” – kumbe confidence ya bandia.
Tujiulize...
Ukiambiwa usilewe kwa mwezi mmoja tu – je, unaweza?
Ukiambiwa weekend hii usiende club – je, inakuuma au ni sawa tu?
Ukiwa sober, unahisi maisha yako yako boring sana hadi uhitaji kileo ili yawe interesting?
Kama majibu yanauma, basi jibu tayari lipo – huwezi kusema unafurahia kama kila raha yako inahitaji gambe.
Mwisho wa Siku…
Kunywa au kulewa si kosa, lakini je, unafanya kwa sababu unajifurahisha au unajaribu kusahau maisha yako halisi?
Tufurahie, lakini tujitunze. Raha ni nzuri ikiwa haileti madhara kesho yake.
Drop Maoni Yako
Wewe huonaje? Kunywa kila weekend ni lifestyle ya starehe au ni njia ya kutoroka matatizo?
Tuongee ukweli bila kupendeleana.
jamaa wana-complicate maisha sana.Wanywa vyoda wana hasira soda 500 chupa moja bia moja 5000 mpaka 10000 na mtu anakunywa 8 lazima povu litoke😅
Kwa hiyo tule tu gambe mangi?Mkuu unao ugonvi na sisi wapiga tungi kwani?😂😂😂
Life is a daily struggling to survive na naturally mwili na nafsi zinahitaji kumpumzika baada ya kazi........ Ndio maana tuna masaa ya kazi, weekend off na hata likizo
Starehe maana yake sio KUONDOA shida wala sio KUHAIRISHA shida
Starehe maana yake ni kuupumzisha mwili kwa kuburudisha mwili na nafsi baada ya struggling
Na Starehe sio POMBE tu kama unavyodhania, kuna michezo, kutoka out na michepuko/familia, kwenda kula mdudu, kucheza pooltable or whatever your find it pleasurable
Sio sahihi kudhania kwamba starehe ya pombe inatakiwa aifanye mtu ambaye HANA CHANGAMOTO....... Hakuna asiye na changamoto
Mama yangu huwa ananisisitiza niwaepuke wanywa vyoda kwenye michongo ya maana , sijui kwanini🤔jamaa wana-complicate maisha sana.
muda mwingi wanatumia kubishana mpira-wakimaliza mpira ndio wanaanza kutunanga...baada ya hapo wanatupiga mabomu ya pesa