[emoji23][emoji23] vp alikuja?N kweli kaka,kama hapa niko maskani nasubiri mtoto wa mtu aje nimkule bao thn niende kumalizia mechi ya simba.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hii inabid fundi atulie kweliTaa hata wewe unaweza kufunga mimi nilichukua hiyo picha nikamfuta fundi na vipimo vyangu na jinsi nataka iwe
View attachment 2149293
Aisee pole sana mkuu,vp ukijaribu ku recovery password kuptia email yako na namb yako,au walisha change kila kitu?Wakuuu nitaleta uzi niliuahidiissue Ni kua Nilikua site. But nimerudi home usiku huu.
Pia kuna wahuni wamedukua account yangu ya Instagram. Yaan Ni shida Kama Kuna mtu anajua namna ya kurudisha anisaidie.
Why not broo,jana sijaangalia mechi ya simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vp alikuja?
Chief kumbuka ukinunua hayo mahitaji uliyotaja hapo juu unatumia zaidi ya siku moja,week,mwezi mpaka miezi mfano mafuta na gesi. So kupika kuna save sana pesa pia kunakupa options za kuchagua ule nini na sio kuchaguliwa.[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.
Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
Nenda kinyerezi utanishukuru mkuuWakuu Kwema ?
Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili
Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year
Anyway,
Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]
Kwa sisi tunaokaa bachela....kupika sio inshu...inshu ni kuosha vyombo...hapo ndo napataga changamoto naona bora nikale mgahawani...lakini economically, kupika kuna save cost.Bro kuna vitu ukiwa ghetto unaweza nunua kwa wingi mfano mafuta ya kupikia,unga,mchele sukar na vya aina hio,unakua unabadili mboga tu...Kujipikia ina save sana pesa
Kuosha vyombo bro,imagine umepika usiku asubuhi unatakiwa uwahi mishe mishe hapo vyombo vinakuangaliaKwa sisi tunaokaa bachela....kupika sio inshu...inshu ni kuosha vyombo...hapo ndo napataga changamoto naona bora nikale mgahawani...lakini economically, kupika kuna save cost.
Mm huwa naloweka sufuri ya ugali , hata siku 4, huwa napatwa na uvivu sana kuosha vyombo..Kuosha vyombo bro,imagine umepika usiku asubuhi unatakiwa uwahi mishe mishe hapo vyombo vinakuangalia
Hapo mkuu unakula kwa amani kabisa,ukimaliza ukila matunda yako kadhaa na maji ya kutosha aaah fresh kabisa
Aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
chakula cha mtu mmoja mkuu ni ghali. mboga tu kununua hapo hujaiunga haipungui 3000. haya viungo mafuta ya kula labda umenunua vya mwezi mzima. bado moto. Bado muda + kuongeza kazi ya kuosha vyombo.Kwenye kupika hapo nakupinga.
Kujipikia kuna save gharama kubwa sana mkuu. Nina experience.
Unga wa buku yaani kilo moja napika ugali mara tatu.
Kuhemea vitu sokoni kama mbogamboga na viungo kunasave sana kuliko kula mgahawani.
Karibuni kuchangia au kunikosoa Wangari Maathai Zero IQ nk
Sent using Jamii Forums mobile app
chakula cha mtu mmoja mkuu ni ghali. mboga tu kununua hapo hujaiunga haipungui 3000. haya viungo mafuta ya kula labda umenunua vya mwezi mzima. bado moto. Bado muda + kuongeza kazi ya kuosha vyombo.
Bora umenisaidia kujibu.Wewe sijui upo nchi gani aisee
Samaki mmoja 1000
Nyama inaanza kupimwa 1000 na robo ni 2000
Njegere 1000 glass (huwa nakula milo miwili )
Mboga majani 500 fungu ( huwezi maliza)
Dagaa ndo tusiseme bei
Sasa hio buku 3 ya mboga gani ya 3000 ?
Ukinunua njegere za buku na nyanya za mia mbili unapata mboga ya siku nzima (Mchana na jion)
[emoji23][emoji23] dah ukacheza mech yako mwenyewWhy not broo,jana sijaangalia mechi ya simba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jana nlikua najiita pape osman sako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napiga chenga kiunoni[emoji23][emoji23] dah ukacheza mech yako mwenyew
haya unayoyazungumza me nayaishi singumzii nadharia kupika msosi wa mtu mmoja ni gharama.Wewe sijui upo nchi gani aisee
Samaki mmoja 1000
Nyama inaanza kupimwa 1000 na robo ni 2000
Njegere 1000 glass (huwa nakula milo miwili )
Mboga majani 500 fungu ( huwezi maliza)
Dagaa ndo tusiseme bei
Sasa hio buku 3 ya mboga gani ya 3000 ?
Ukinunua njegere za buku na nyanya za mia mbili unapata mboga ya siku nzima (Mchana na jion)
Hapana mkuu, kujipikia ni gharama nafuu kuliko kununua hotel. Ila ni kazi kama hupendi kupika.haya unayoyazungumza me nayaishi singumzii nadharia kupika msosi wa mtu mmoja ni gharama.
huyo samaki yupi wa buku tuma hata picha tuone. Hvyo vikorombwezo vyote ukija ukipiga hesabu 4000-5000+ imwkatika.