GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Movies,music,games plus mpira hata 40" ni nzuri ila pia aangalie na ukubwa wa sebule yake kwa sie wenye chumba na sebule...ila kama ni chumba peke ake sishauri sana 40aah hapo sawa, mm nlkuwa nasemea kwa Movies na mziki
Mkuu vp ulifanikishaNipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
Binafsi sina jibu la uhakika la kukupa ila kwa kujiamini kabisa nasema unapata......nadhani wadau wenye ujuzi zaidi kwenye hili watakujibu vyemakwa budget ya laki moja, naweza kupata sabufa gani standard kwa ajili ya geto?
kwa budget ya laki moja, naweza kupata sabufa gani standard kwa ajili ya geto?
si zipo fresh? kwenye uboraLyons
Aborder
Boss etc
si zipo fresh? kwenye ubora
Hivi ndivyo geto huanzaaaStep no 1. Mengine yajaView attachment 2170849
Alijutaa sanaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
@Political stability vipo vya 80,000. Au nenda Facebook kwenye magroup ya biashara. Kila mkoa au mji una group la biashara humo unakutana na watu wanauza vitu vyao.@Political stability post: 42398704 said:kwa budget ya laki moja, naweza kupata sabufa gani standard kwa ajili ya geto?
Hongera sana mkuuNilianza kwa Mkasa wa Ujauzito.
Nikaondoka home na Manzi akaja ghetto tulee Ujazo.
Tuliala Chini kama wiki hivi
Kisha likaja godoro kubwa kabisa QFL 6x6 inch ile ya mwisho ile tukawa juu juu. #UshambaMzigoSana
Vyombo vya kupikia in bulk vijaka then Dish la ... Then laptop then Sofa. Life ikasonga...
Within 8 months nikawa nina ujasiri wa kumkaribisha mgeni nyumbani.
Dogo akaja na Baraka zake.[emoji1431][emoji56]
Hizo taa ulizoweka kwenye show case ndan zinaitwaje na zinauzwaje?View attachment 2172587
Hata kama maisha magumu vipi-je na mapenz yanakutesa?[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] ok usiache kula
#whtehousekwamnyabiikuluyao
Mwezi june naanza kuishi gheto INSHAALlAH
View attachment 2203512
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo taa ulizoweka kwenye show case ndan zinaitwaje na zinauzwaje?
Vya mkanda navitafuta mie, nilipataga sehemu wanauza. Ila walikuwa na rangi mbaya ‘orangeZinapatikana kwenye maduka ya pikipik au magari
Kuhusu specific names sijajua ila me nlimwambia vitaa vya blue akanipa hivyo
Vipo vya aina 2 vingine ni kama mkanda hivi
Bei yake ni 5000 (Iringa)