Ulianzaje kukaa gheto?

Dah aisee home hata wadogo zako watakudharau tu! Machaliu na hata mademu kisa upo home na upo over 23 unamwagilizia bustani!

Yaani nikipata chance tu faasta naamsha mie home life la kifala sana lakini ugumu wa life kitaa ndo kisanga

Its better to leave family house na kama ni mafanikio utayatafuta hukohuko mbele kwa mbele sio upate mafanikio home ndo usepe!!

START YOUR STRUGGLE ON YIUR OWN!
 
wazee kama hao ni kuwaambia ukweli, kuwa sitaishi kwako milele, lazima itafika hatua nitatakuwa kujitegemea kwa kila kitu.

Mara nyingi familia zenye pesa ndio wana hiyo tabia, ila sisi wa maisha ya kawaida yani siku unahama home mzazi anaonesha kama kuumia hivi kumbe kimoyo moyo anafurahi ili umpunguzie mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bigup sana bro...sema hyo kupenda watoto wa watu angalia usje kula.mama zao[emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kweli kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mwanangu alihama home kibishi akaenda kupanga baada ya miezi Sita hivi geto likawa limeshakaa Poa. Oneday ilikua weekend akaenda club kujirusha alivyorudi night wakora wamevunja wakabeba kila kitu.

Jamaa akaona isiwe tabu akarudi home. Haikupita hata wiki moja ankow akaja kuwatembelea na kumkuta jamaa home akamuuliza vip? Umekuja kusalimia akajibu hapana nimeibiwa.

Anko Akamcheka sana akamwambia mwanaume akiamua kuanza maisha harudi tena home.

Mshkaji akaondoka akarudi getto kwake akatandoka mabox maisha yakaendelea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa akarudisha kwa kipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…