Ulianzaje kukaa gheto?

Hahaaaa, mkuu umenichekesha mnoo, ukaona urudishe mpira Kwa kipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] we ndo ulifeli...jipange utoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea jambo zuri sana ndugu...mim mwenyew hua nktaka kuleta dem nawazaga saana...!!maana madem hupenda mtelemko....akshaona umjipanga vzuri jua inafuata mimba...!!tuwe makini saana...tujipange kimaisha kwanza...!!ukipata mtot tu jua kuwa umeharibu kila kitu....ukijumlisha n hz kaz zetu zisizokuw na majira mbn tutahaha km vchaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mleta mada unanikumbusha mbali sana nakumbuka kitambo icho nipo zangu home sina mbele wala nyuma amadi nikakutana na mdada mmoja hivi iyo ni 2014 basi tukaanza mapenzi mtu mzima ikabid niamie kwa bi mdada kuanzia hapo ndio ukawa mwanzo wa maisha ya geto na ndio akili ikafunguka
 
Hahah, itabidi umuandalie zawadi mwanana huyo bi mdada coz ndio alikufungulia njia
 
Jamani yaani huu uzi kidogo nimeuelewa sema tatizo kila mtu anasema ishu ya mkopo je kama una huo mkopo.

Sema ipo vizuri mi kujiripua fasta tu sema ndo kwanz nipo form 2. ila ki ukweli life la hom sipendi kiivyo. Sema kama kuaanza geto must hapa hom nichukue kitanda nachokitumia pia kwa miezi ya mwanzo nitakua na depend kwa mzee ila life ikichanganya ah narudi hom.

Dah sasa kwa uandishi huu naweza pumua maana dah...

Wakuu au kuna ishu nyingine hapo nimekosea. Najua kuna jamaa atakuja kunikosoa tu atasema sijaweka alama za uandishi
 

Aisee kweli wewe upo advance dogo!
manengelo njoo uone mwandiko wa mdogo wako! ๐Ÿ˜‚
 
We dogo upo advance na haujui kuandika asee?
 
Dadeki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ