Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna dkk 4 tyuuh nimepita kutokaaa, sikutaka mambo yawe mengi hapo nyuma. Wamama nawajua vyedi.
😂😂😂 mtu unaweza jikwaa kwa kuhisi unatizamwa kumbe wala
 
Nilipopanga wapangaji ni 8 kila mtu na nyumba yake, kila mtu anarudi usiku
Hakuna anayeongea na mtu
Ooooh hapo sasa si mpo watu na business zenu, tunsemea wale wa vyumba na choo ndan, au chumba tupu choo cha kushare watu wote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu unaweza jikwaa kwa kuhisi unatizamwa kumbe wala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh. Wee wamama wamejipangaa koridon utadhan kuna kikao cha marejesho ya vicoba
 
Mkuu Kwani wewe unataka kupanga maeneo gani?

Madalali wanazingua sana, ata kama ana vyumba vizuri anaanza Kwanza kukuonesha vibaya ili ye apate tu ile hela ya kukutembeza

Njia nzuri ya kuanza kupanga Kwa mara ya Kwanza ni kutafuta ghetto Kwa kuulizia washkaji wanaokaa mazingira unayotaka wewe kuishi

Hutopata Kwa haraka lakini hakuna ubaya Kwa sababu home hujafukuzwa kwahiyo inakuwa rahisi watu kukuvumilia, ila ukajifanya una haraka utawapa sana hela madalali na kuishia kupanga nyumba ambayo unakuwa huna ata hamu ya kurudi nyumbani

Ukishapata ghetto lako la Kwanza hapo ndio utapanga aina ya ghetto la pili litakavyokuwa, ghetto la kwanza unaweza kukaa ata miez 3 tu kisha ukabadirishia Gia angani

Wakati me naanza kukaa ghetto sikuwa na mambo mengi kulingana na uchumi wangu hivo nikaangukia mitaa ya kigogo, Kwa sababu vyumba bei rahisi

ila baada ya miez 4 nikahamia Kumara suka, huko ndio sikuhangaika kabisa kutafuta nyumba kwakuwa mishe niliyokuwa napiga nilikuwa napiga kila siku kwahiyo ata muda wa kuonana na madalali nikawa sina

Nikaingia Instagram na kutafuta madalali wa kimara/ubungo/mbezi nikakuta wanapost nyumba na sifa zake, kwahiyo me nikacheki weee hadi nikaridhika, siku moja nikaomba hudhuru kwenda kucheki mjengo na kulipia moja Kwa moja maana kila kitu ushaona kwenye picha

Kama unataka nyumba yenye fence utachagua mwenyewe, tile's, gypsum, Aluminium window,mpya au used,self contained,kushea maji au umeme....! So unachagua mwenyewe unatakaje

Kwahiyo kama utakuwa uko Dar na unataka maeneo ya ubungo/kimara/mbezi/tegeta/bunju nk, jaribu kutembelea account za madalali mjini Instagram inaokoa muda lakini pia ina save gharama ambazo sio za ulazima
 
Dah nikaona kama harakati za kutafuta mtaji nifungue biashara ili Nikae geto kama inakwama basi nikasema nisubiri sensa. Ikaja nikaaply vzr dah siku ya interview nikafika. Matokeo holla.
Wakuu nikalala ndani siku nzima stress.
Kuna mwana jirani akanipa pole akanipanga ya kuwa kuna eneo lao la familia ila yeye kapewa kipande anataka apande miti so kuna miti pori so nifanye kuchoma mkaa. Fresh nikapiga gunia saba hivi.
Hiyo ni mwezi wa nane mwishoni. Ikanibidi pia nirudi kijijini kuvuna mahindi yangu. Nikiwa kule bimkubwa anaona kijana jobless ikawa jau. Yaani watoto wote mimi sina issue. Unaweza fanya kazi siku tano then jmos ukaamua kupumzika ila siku hiyo utawakiwa kama mbwa.

Inauma aisee. Kuna bro angu akanitumia siku tangazo la kazi mahali fulani hvi. Nikaaply nikaitwa interview.
Baada aya week mbili niko Bush ninapiga kibarua cha kupiga ngano napigiwa simu na Hr ya kuwa nimepita. Imagine kati ya watu 400 nimepita. Tuliopita ni 70 na kitu.
Basi nikaripoti sign mkataba. Hivi jana ndio nimepanga geto la vyumba viwili na nimetengeneza mwenyewe my dream bed.

Nimefupisha stry kuonesha hamu ya vijana wanaomaliza vyuo na wengine pia wakiwa na hamu ya kujitegemea. Tuschague kazi ilimradi haikuvui utu. Displine mazee inahajika sana mpk tutakapopata makazi yetu ya kudumu.
Long live jf.

Jana ndio nimeingia rasmi kwenye getho langu rasmi.
 
Em tuone hiyo dream bed 🥰
 
Getho bila shughuli ya kuingiza pesa jau mazee. Bora ubaki kwenu usiwe ombaomba kama huna moyo wa kufanya kazi ya kuingiza kipato na kulipa bills. Nimeingia leo getho madirisha wazi. Mwenye nyumba ndio anafunga shata.


Nakupenda jamii forums. Walec una akili sana
Afu pia cocastic sitaki uniponde sijapanga room kali ndio naanza life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…