Aiseee.Sipiki mara nyingi, inshort naingia kwenye kundi la wasiopenda kupika tu.
Ila kupika najua
Sipiki sana sababu, siwezi toka kazini saa 11 karibu 12 nifike home niwaze kupika badala ya kupumzisha fuvu langu.
Afu kupika kwenyewe unapika chakula cha mtu mmoja, khaaa
Narudi na kitimoto au choma, nafika nasonga ugali nakula..
Siku nyingine nakula huko huko nikifika home ni kuoga kulala [emoji3577]
Nichoke kuzisaka doo
Na nichoshwe na vitu ndogo ndogo hivo
Nehiiii
Depends unakula wapi mkuuAiseee.
Ila vyakula vingi vya kibiashara si visafi
Mm napendelea kula chakula cha kupika mimi zaidi ya vyakula vya hoteliniAiseee.
Ila vyakula vingi vya kibiashara si visafi
Kila siku utakula hoteli nzuri nzuri??Depends unakula wapi mkuu
😂😂🤜
Haya banaDepends unakula wapi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji2936]
Mi napenda nile nyumbani, hotel nyingi ziko kibiasharaMm napendelea kula chakula cha kupika mimi zaidi ya vyakula vya hotelini
Chakula kinakua kitamu sana na unapata ladha halisi..mfano mchemsho wa nyama na mboga za majani ukipiga na kaugali kidogo na parachichi na maziwa mtindi...Mi napenda nile nyumbani, hotel nyingi ziko kibiashara
95,000
Kabisaaa yaan!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Depends unakula wapi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji2936]
dah kama masihara vile, nilikua na kama 200K hivi, nikachomoka hadi maskani fulani hivi kuna madalali kibao yani...."oya nataka ghetto kali liwe la nje, wapangaji wawe wachache na kuwe na toi la ndani ili nikiingia na pisi kali mambo yasiwe mengi." nikaongea kwa sauti ya mamlaka.
kuna mwana mmoja akanitonya kwa dalali mmoja hivi kibonge maneno meengi, "ghetto lipo kaka ila chumba kidogo sanaaa, kuna toi la ndani, chumba ni cha nje ila wapangaji wapo wengi, hata kama sasa hivi unalitaka twende ukalicheki" dalali akanisanukia.
tukadandia boda hadi kwenye ghetto, nikalipia 3months na nikam-clear dalali, bado sijahamia coz kuna shemeji yenu namsubiri tukalizindue ghetto.

yeah man🙂[emoji28][emoji28][emoji28]mkaweke jiwe la msingi
chumba 50k kaka, dalali kalamba 30kHicho chumba shiling ngapi na dalali umempa shilingi ngapi
yeah man🙂
Majuzi hapa nimekula sehem chakula,tena cha bei juu sana.Jifunze pika, vyakula vya mahotel, migahawa mingi viko kibiashara kuliko kiafya
Hilo si gheto bali storeGhetto la ki'bush bushView attachment 2443936