Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mtalishwa matakataka bila kujua.Kabisaaa yaan!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie alikujaga dada akashangaa sipiki naenda nunua vyakula cafe,. Wee achaa aanze kugombaa, ndo Nkaanza system ya kupika, na sio kila siku.
Ni kweli usemachoo MrMtalishwa matakataka bila kujua.
Pendelea kupika Chakula chako nyumbani
Nunua viambaupishi vyote.
Chakula Cha nyumbani ni kitamu zaidi.
Pia unaweza ukakila asubuhi hadi jioni ukasabe gharama za kununua nunua vyakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Sijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuwa mvuvi kupika now ni kawaida kumaliza mwezi sijapika kabisa japo me ni mpishi mzuri.
Kwanini usingepanga chumba cha kawaida ukahamishia vitu vyako?Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Nilikuw sina hela zaidi ya kuuza vitu vya ndani nilinunua boda Tvs napigia mishe mjni daresalama
Safi sanaNilikuw sina hela zaidi ya kuuza vitu vya ndani nilinunua boda Tvs napigia mishe mjni daresalama
kuna kaukweli kazi nyingi za home nimekuwa mvivu sana. Yaani wazo la kuoa ndipo linanijia kichwani.Sijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]
Ukioa mzee umepoteana [emoji23][emoji23][emoji23]Tupambane kwanza Tupate sehem pa kuita nyumban sio tena Gheto hapo sahihi kubeba kimwali.kuna kaukweli kazi nyingi za home nimekuwa mvivu sana. Yaani wazo la kuoa ndipo linanijia kichwani.
Hicho kitu ndicho kinanikwamisha sijui umejuaje mkuu.Ukioa mzee umepoteana [emoji23][emoji23][emoji23]Tupambane kwanza Tupate sehem pa kuita nyumban sio tena Gheto hapo sahihi kubeba kimwali.
Hii ni kweli Mimi nilikuwa naipenda kupika na maswala ya kuoa nilikuwa sitaki kusikia. Nilipoanza kuchoka kupika hata miezi sita haikupita nakaweka wife getoSijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]
Yaani we acha tu,sometimes home nabaki mwenyewe tunakutana usiku tu,sasa ujipikishe atakula nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] likizo hii nilienda home, aseeeeh nyumba nzima mie na dogo tyuuh, yaan nilipata tabuu, mara dogo akasepa Lindi kwa broh, nlibaki mwenyeweee sikuwa pikaaa hata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna msimamo wewe khaa!Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Nilivyokuwa nampenda ata angebeba vitu nisingempaleka popote ndio man nilinkimbia hadi leo sjui yupo wapi unawajua madem wa Kizaramo wewe ,,,, [emoji23][emoji23]nilimkimbiaHauna msimamo wewe khaa!
Yaan unauza na kuhama kisa mwanamke??
Usitoreke mkuu fanya uage tuu.Wakuu nataka ninunue bed sofa 5*6 mwakan natakan nimtoroke bi mkubwa naanza kununua vitu kidgo kidgo.
Kabisaaa yaan, mtu ukiwa pekee ako haina haja ya, kupika sanaaaaa.Yaani we acha tu,sometimes home nabaki mwenyewe tunakutana usiku tu,sasa ujipikishe atakula nani?
Unaweza pika na kikakudodea unaebaki home,binafsi kula viporo sipendi kabisa, sasa mnaishia kumwagia kuku tu.
Ni wazo zuri maana tunaoa si kwa ajili ya starehe tu bali mke ana faida nyingi ndani ya nyumba na kwenye maisha ya mwanaume.kuna kaukweli kazi nyingi za home nimekuwa mvivu sana. Yaani wazo la kuoa ndipo linanijia kichwani.