Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kabisaaa yaan!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie alikujaga dada akashangaa sipiki naenda nunua vyakula cafe,. Wee achaa aanze kugombaa, ndo Nkaanza system ya kupika, na sio kila siku.
Mtalishwa matakataka bila kujua.

Pendelea kupika Chakula chako nyumbani

Nunua viambaupishi vyote.

Chakula Cha nyumbani ni kitamu zaidi.

Pia unaweza ukakila asubuhi hadi jioni ukasabe gharama za kununua nunua vyakula
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena.

NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuwa mvuvi kupika now ni kawaida kumaliza mwezi sijapika kabisa japo me ni mpishi mzuri.
Sijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Kwanini usingepanga chumba cha kawaida ukahamishia vitu vyako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]
kuna kaukweli kazi nyingi za home nimekuwa mvivu sana. Yaani wazo la kuoa ndipo linanijia kichwani.
 
Ukioa mzee umepoteana [emoji23][emoji23][emoji23]Tupambane kwanza Tupate sehem pa kuita nyumban sio tena Gheto hapo sahihi kubeba kimwali.
Hicho kitu ndicho kinanikwamisha sijui umejuaje mkuu.

nilitaka nikifisha sehemu flani kibanda ndio nifikirie kuoa, mambo ya kuishi na familia ghetto sio kabisa aisee. Sema hawa wahusika ndio shida ukimwambia hvo hakuelewi anaona unachelewa.

Ukishaoa majukumu yanaongezeka. hujakaa sawa ujauzito huo, upo gheto si balaa. hilo.
 
Sijawahi kuona mwanaume anayejua kupika akiwa anapika siku zote kuna muda unafika unaanza kuwa mvivu suluhu hapo ni kuwa na mke ndani maana chakula cha hotelini/mghahawani kitakuchosha. Unaelekea elekea kuwa mume wa fulani mkuu [emoji846]
Hii ni kweli Mimi nilikuwa naipenda kupika na maswala ya kuoa nilikuwa sitaki kusikia. Nilipoanza kuchoka kupika hata miezi sita haikupita nakaweka wife geto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] likizo hii nilienda home, aseeeeh nyumba nzima mie na dogo tyuuh, yaan nilipata tabuu, mara dogo akasepa Lindi kwa broh, nlibaki mwenyeweee sikuwa pikaaa hata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we acha tu,sometimes home nabaki mwenyewe tunakutana usiku tu,sasa ujipikishe atakula nani?

Unaweza pika na kikakudodea unaebaki home,binafsi kula viporo sipendi kabisa, sasa mnaishia kumwagia kuku tu.
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Hauna msimamo wewe khaa!

Yaan unauza na kuhama kisa mwanamke??
 
Hauna msimamo wewe khaa!

Yaan unauza na kuhama kisa mwanamke??
Nilivyokuwa nampenda ata angebeba vitu nisingempaleka popote ndio man nilinkimbia hadi leo sjui yupo wapi unawajua madem wa Kizaramo wewe ,,,, [emoji23][emoji23]nilimkimbia
 
kuna kaukweli kazi nyingi za home nimekuwa mvivu sana. Yaani wazo la kuoa ndipo linanijia kichwani.
Ni wazo zuri maana tunaoa si kwa ajili ya starehe tu bali mke ana faida nyingi ndani ya nyumba na kwenye maisha ya mwanaume.

Mke ni rafiki, ni mshauri, ni mpenzi, ni mama, ni mfariji wakati wa shida,ni daktari anaweza kujua unaumwa au mtoto anaumwa kwa kumuangalia tu.

Mke pia ni mpambaji wa nyumba anaiweka safi na muonekano mzuri muda wote.Mke pia ni mtaalamu wa mapishi hachoshwi na harufu za vyakula kila siku ni yeye na jiko tu.

Nakutakia kila la kheri mkuu Mungu akupatie mke mwema mwenye sifa za mke bora.
 
Back
Top Bottom