Ulianzaje kukaa gheto?

Mambo vipi wakuu! Kwa Bajeti ya 1.2ml naweza kupata Hisense TV ya inch 65? nlikuwa nayo ya inch 49 nataka kuuza ninunue 65

Kama umepanga achana hayo Ma tv makubwa ni hasara. Nilivunja kioo LG 55’ nilikua nahama mpaka leo nimetulia zangu na 43’ fresh hayo matv makubwa nitaweka nikihamia kwangu.
 
Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…