Earn the one
Member
- Aug 17, 2017
- 84
- 105
Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
200k MkuuAisee tuendelee kupambana
Hivi hilo jiko ni shilingi ngapi limekaa vizuri
Safi mkuuHabari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ghetto linaonekana kubwa mpaka kiti kikubwa kimekaaHabari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni la umeme au gas?200k Mkuu
Plate Moja ya umeme na plate tatu za gasNi la umeme au gas?
Na bado kuna space ya kuweka coffee table na mechi za sebleni zinaweza kuchezwa hapo[emoji28]Ghetto linaonekana kubwa mpaka kiti kikubwa kimekaa
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16]amini apo ni kama amepata na sebuleNa bado kuna space ya kuweka coffee table na mechi za sebleni zinaweza kuchezwa hapo[emoji28]
Kabisa[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]amini apo ni kama amepata na sebule
Chumba ni kikubwa sana aise 👐🏽Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kuna hii nayo sijui nimeitoa wapi ila nmeielewaNimeitoa twitter huko nimependa mpangilio na usafi [emoji736]
View attachment 2615605
Huyu atakuwa wa Dar. Mpaka neti 😂Nimeitoa twitter huko nimependa mpangilio na usafi ✅
View attachment 2615605
Amejipakulia minyama sanaaHuyu atakuwa wa Dar. Mpaka neti 😂
Kuna hii nayo sijui nimeitoa wapi ila nmeielewaView attachment 2615660
Hahahah kaka unanijazia minofu sanaHahahaha kaka mbna kama hapo ni kwako
Minyama ya kutosha 😀😀Hahahah kaka unanijazia minofu sana
Mnapokuja sleep over hamjui pia mnafaa mtudekieMdeki nyumba zenu hizo 😄