Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 601
- 672
Hii life kama ya mwanachuokaribuni jameni tucheki manchester hapa, ndio nimeanza maisha ya gettoView attachment 1216145
Kwanini mkuu, simple sana auHii life kama ya mwanachuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Likiwekewa tyres litaanza kutembea
hehehee tuheshimiane mkuu[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Hii life kama ya mwanachuo
hahaha simple eeeh, kwa boom labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hebu wewe mfanyakazi tupia picha ya chumba chako tuone sasaKwanini mkuu, simple sana au
Nimebashiri tuu kama kwenye sokahehehee tuheshimiane mkuu[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Aina ya vitu na mazingira yote hapoKwanini mkuu, simple sana au
hahaha mkuu kuna madaftari hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aina ya vitu na mazingira yote hapo
hahaha mkuu kuna madaftari hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] sawa boss amejibu kiutuuzimaNimebashiri tuu kama kwenye soka
Haha lakini umejitahidi nakumbuka nilianza na godoro chini na ndoo ndogo ya kuogea na lisabufa lakunifariji mana geto bila muziki ni choo tu
Hongera sana kuna ishu ningependa kukucheki pm mzeeSafari yangu ya ghetto ilianzia pale nilipokuja mjini dar kutoka mbeya nilifikia kawe ghetto la mshikaji wangu huku nikiwa napiga kitabu NIT mabibo sasa kutokana najamaa angu kutaka mimi ndo niwe msafisha ghetto mpikaji nikaona miyayusho nikajichanga nikapata ghetto mabibo la elfu 35 kwa wanaopajua mabibo mabwawani nawale wahuni aibu!!! Haaha ukipita wanauomba 200 ukiwanyima jiandae jioni unavorudi kutoka kuangalia UEFA haahhaha huku nikiendelea nakitabu na michakato yangu mabo hayakua mabaya nikavuta ghett sinza madukani nikahama mabibo nikawa mtu wa sinza huku nikiendelea namichakato yangu mana masomo yakasimama akati nipo 2rd year ivo nikajikita zaidi katika michongo nikawa mkulima nikawa natumia fursa inayopatikn kama kipindi cha korosho nazama kusini kama kipindi cha mpunga naingia kyela mbeya namshukuru Mungu saivi nimehamia bunju nalipa 150k per month na nina kijikampuni kinachohusiana na aluminium. ... mwisho wa story
Hahaa mkuu nilikuwa namuuliza huyo kwa mshangao, getto limecost hela hilo kufika hapohahaha simple eeeh, kwa boom labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hebu wewe mfanyakazi tupia picha ya chumba chako tuone sasa
NIMESHAPIGA CHINI KITAMBO ANA FIGHT NA MAISHA YAKE.Huyo alikuwa zaidi ya danga
chumba kichafusio lazima kila kitu anunue kwa siku moja vingine atanunua kulingana na uhitaji
tuonyeshe chakwakochumba kichafu
Getto una suffocate.
Kabla mwaka haujaisha Nina mpango huo..bimkubwa aongee tu nimeshaamuaNna mpango wa kuchomoka home mwakani[emoji848]
Dah ila naogopa kishenzi