Ulianzaje kukaa gheto?

Aisee alikufukuza mzee au??
 
Tulipogoma pale coet mwaka 2011 Ili Jamaa flan arudishwe chuo ,COET WOTE WA MWAKA WA KWANZA TULIFUKUZWA HOSTEL NILIKUWA PALE HALL SIX CHUMBA FLAN

Baada ya kufukuzwa nikamua kutafuta ghetto msewe nilianza na chumba cha 30per month,5x6bed na fen yangu ya 40

Kiasi nikiweka bili ya msosi pale kota jiran na getmaji ya mwezi nikabakiwa na chenji kadhaa nikapaa ambiance kununua wanunuaji na kupata kinywaji

Maisha ya ghetto yalinzia pale na yalikuwa mtamu ya furaha bila karaha za humu mitaan
 
Umesoma COeT mkuu?
 
Ulianza kama utan mkuu
 
Umenipa moyo sana na nimejifunza sana kaka
 
Wengine tukiandika story zetu hapa ni ndefu sana.
Ila najua wengu wanaochelewa kutoka home ni waliosoma, na njia rahisi ya kuanza kuishi ghetto ni ukiwa chuoni, yani hata kama unaishi hostel za chuo anza kununua hata godoro weka huko, mapazia, rice cooker na vitu vya msingi. Kabla ya kumaliza chuo hakikisha unapata chumba unapanga unaweka na mali zako. Hata kama utarudi nyumbani, rudi huku umeacha ghetto hata kama lina godoro tupu, na mfukoni ukiwa na pesa ya akiba iliyotokana na kujua namna na kumanage matumizi ya pesa ukiwa chuoni.
Kwa wale wenye wazazi wasiotaka vijana wao watoke home huku hawaza kazi rasmi, njia rahisi ni hata kudanganya kuwa unasafari unaenda kumsalimia rafiki yako fulani, au umeitwa kwa ajili ya tempo sehemu fulani, nk, ukitoka tu hapo ndio mazima siku ukirudi ni kwenda kumalizia mizigo iliyobaki home. Ikiwa huko ulikoenda anawaambia tu nimepata mishe ya kufanya hivyo sitarudi saizi nyumbani nimepanga kichumba sehemu, wataelewa tu, na wazidi kukuombea kwa Mungu maisha yakunyookee
 
Hii ndio JF kila mtu ana gari nzuri,ana demu mzuri ana degree first class.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…