Ulianzaje kukaa gheto?

mimi kipindi nasoma chuo nilifikiri sana baadae yangu, ni nini ntakua nafanya baada ya kumaliza chuo, ntakua wapi!?, sikupenda kurudi home na kukaa tu, so nilianza na plan ya kuweza kuanza kujiingizia kipato so nikawanafikiri ni njia gani nitumie ili niweze kujiigizia kipato, nikapata wazo nianze na biashara, sasa mtaji na aina ya biashara ikawa mtihani, nilikua napenda sana kucheza video games(playstaion) so ikabidi nipate wazo la kufungua frem ya kuchezesha ayo magame, nikaanza na kununua moja moja kwa kujibana kwenye ela yangu ya matumizi, kila semister nikawa najibana nanunua tv na playstion yake, nikafanikiwa kununua kama 3 ivi, ikawa mtihani kwenye kodi sasa, mwaka wa mwisho nikaminya kidogo kwenye ada nliopewa na mzee nikafungua frem ya kuchezesha ayo magame, apa ikawa ndo mwanzo wangu wa kuanza kujiingizia kipato mwenyewe still bado nikawa napewa pesa ya matumizi home, ikumbukwe kipindi chote iki naishi hostel, kwaiyo baada ya kuweza kujitengenezea pesa mwenyewe ndo likaja wazo la kutafuta gettoh sasa na apo ndo nikapata gettoh na maisha yakaanzia apo, pamoja na yote lakn kipindi nafanya saving nilipitia kwenye kipindi kigumu sana cha kiuchumi.

nawashauri tu unapofikiria kutafuta gettoh fikiria na njia za kupata pesa walau ata kama ni kidogo laa sivyo unaweza jikuta unaingia pabaya kwasababu ya shida ya pesa maana gettoh sio kodi tu pekee kuna bills za kila mwisho wa mwezi kama umeme, maji, usafi nk.
 
noted big up bro
 
Hahah salute sana...inatiaga aibu sana..mdada ana geto alaf ukijichek mzee baba upo kwa mama[emoji16][emoji16]...big up sana
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
 
Ni kweli mkuu...lakini ukishakua na majukumu ji rahis kuamua kupambana kusaka hela..kuliko ukiwa uko nyumbani..kila kitu bure...ile morale inapotea sana ya kupambana
 
Hongera sana hakika ulipambana juu chini kutetea maisha na penzi pia.
Familia yako inaonekana ni yenye amani na upendo.Hakuna kitu kizuri kama mke na mme muanzie chini mpka juu mnakuwa zaid ya mapacha.
 
Dah nimemalza chuo mwaka huu nikaona kwenda home na kukaa bila mchongo itakua jam nikaja Arusha nmefikia gheto kwa mshkaji na mimi ni mgeni huku sina pesa ya kuanza kama mtaji na sina ramani hapa natafuta mishe yeyote halali niifanye japo naona mbele giza
 
Umetishaaa baba
 
Bora ww mkuu...hapo kukaza tu soon unavuta geto lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…