Ulianzaje kukaa gheto?

Ulifanya Jambo la busara sana
 
Nimeingia chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana ....ila nikaona kukaa hostel kwa mwanaume ni ngumu sana ..nliingia kitaa now naishi geto. jiko la gesi ndoo tatu na jiko la mkaa na kwa life la Mbeya lilivo cheap kwa mambo ya msosi rahisi sana ....sema tu bado bufa.....kama RAIA wengi walivyopendekeza.....inshort maisha ya geto akili inatanuka
 
Na ukimaliza mkuu usirudishe kwa kipa..safi sana
 
Kumbe aliamua kutompa haki yake kisa hajatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…