Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
Ulifanya Jambo la busara sanaMie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka