Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka
Ulifanya Jambo la busara sana
 
Nimeingia chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana ....ila nikaona kukaa hostel kwa mwanaume ni ngumu sana ..nliingia kitaa now naishi geto. jiko la gesi ndoo tatu na jiko la mkaa na kwa life la Mbeya lilivo cheap kwa mambo ya msosi rahisi sana ....sema tu bado bufa.....kama RAIA wengi walivyopendekeza.....inshort maisha ya geto akili inatanuka
 
Nimeingia chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana ....ila nikaona kukaa hostel kwa mwanaume ni ngumu sana ..nliingia kitaa now naishi geto. jiko la gesi ndoo tatu na jiko la mkaa na kwa life la mbeya lilivo cheap kwa mambo ya msosi rahisi sana ....sema tu bado bufa.....kama RAIA wengi walivo pendekeza.....inshort maisha ya geto akili inatanuka
Na ukimaliza mkuu usirudishe kwa kipa..safi sana
 
Mie nimeanza kazi mwezi wa tisa,nillua nakaa kwa ndugu wa kuunga unga,mwezi wa 12 huyo ndugu yanga akaondoka akaenda xmas na familia nikaachwa na mdogo wake wa kike yuko form 2,yule ndugu yangu alipoondoka yule bint akaanza kushinda chumbani kwangu eti anasikiliza mziki,nikaona anakoelekea siko,maana alikua hajatulia,nikapata room ubungo kilikua kistoo nikasema nitakaa tu hivyo hivyo kuliko kubaki kule maana ingekuja kua aibu ya mwaka
Kumbe aliamua kutompa haki yake kisa hajatulia
 
Back
Top Bottom