Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ngoja nisimulie kidogo
Nilipopata kazi nje kidogo ya mji...... Huko nlikokua nnaenda palikua na ndugu yangu nkampgia kua nakuja uko ntaomba hifadh ya mwezi mmja kwako... Akasema poa karibu sana...... Dah asiniambia kua kaowa na yeye anakachumba kamoja.. Juma tatu yake nkasepa home mazima kuanza safari
Dah kufuka uko nkareport kituo cha kazi...... Kufika kwa huyo ndugu yangu akawakaniombea kwa(juma) jamaa mmja hivi niwe nalala kwake sababu jamaa hana mambo mengi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](nadhan mmeelewa) .. Jamaa kiroho safi kakubari... Kwahyo Kula nkawa nakura kwa ndugu huyo ila kulala ndo kwa jamaa siku zingine ilinibidi kununua chakura(mke wa ndugu yangu yaani shemeji alikua mkaksi kishenzi dah mkali anakalipa mbaya)
Sasa kumbe juma nae halipi kodi yeye yupo anaelipa kodi. Anaelipa kodi na mzee mmja hivi ambapo juma anafanya kazi
Sasa siku moja mim niliwah kidog kutoka kazin nkapitia pale kazini kwa juma ili nkachukue funguo ......nkamkuta huyo mzee Nkamuelekez Kua nmefata funguo.... Dah mzee aliwaka kishenzi kwanini anaweka watu bila kunambia na yeye ndie anaelipa kodi!.... Wakat huo juma hakuwepo kazin.
Bas nkawa nipo tu kitaa nazulula[emoji16][emoji16]
Baada ya muda juma kanichek ananilaum why Nmemfuat pale kwake..... Kua yeye anafokewa dah mzee Nlijickia vibaya sana
Jion alipolud akanambia voxser eeeh mzee kakasilika hivyo inabid uwe unakuja kulala kwa machale... Ila Kwaku Sina hela sina namna kwahy nkkitok kazin saa 11 nazururaaaaaaa weeweeee[emoji23][emoji23][emoji51] hadi saa4[emoji3][emoji16][emoji3]
Sas Nkamwambi ndugu yangu ngoj nkatafute chumba ata cha elf kumi akasema acha mimi hiki chumba nachokaa nnahama wiki hi ijumaa utahamia (kod ilikua bado ya mwez mmja)
Kwer jamaa alihama akaniachia chumba ila sasa ntalalia nini! Ntalala nmesimama?? [emoji23][emoji23]
Akasepa akaniachia kikapeti na neti tu[emoji16]
Basi mwanaume nkalala apo daaaah nkawa naamka usiku nnakaa nipumzike afu nalala tena[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Basi baada ya wiki nkawa nahis mbavu mbili zimekatika..... Ila nkatia moyo had mwez ukaisha....nkanunua sufuria na gas nkawa nnapika ukifika muda wakulala Nnawaza itakuaje
Afu kulikua kunavidudu vinaitwa sungusungu heeeeeeeh sikiaga tu kikikuotea icho lazim uluke[emoji16][emoji3]siku kikaniotea kwenye P.... U... M... B.. U dah nilitoa na mchozi.... Sasa nkawa nalala na nguo kama wale madaktar wa ebola yaan hakuna sehem nyama ya mwili inaonekana[emoji3][emoji3][emoji3] Hatimae miez mi3 ikafika nkanunua kitanda ......had sasa n takriban miez kadhaaView attachment 1175235View attachment 1175237
Duh ! .Kuna watu mnahussle
 
Kama Nilivyoleta mrejesho hapo awali kwamba niliufanyia kazi huu uzi , nikakaa gheto , nikashauriwa kupika nikapika , nikalalamika upweke , nikashauriwa nivute mke wa jirani, hilo nimelikataa , Jana nimeokota mtu huko mtaani.... moja kwa moja nimempeleka hospital, kwa kuwa hana bima nimemlipia vipimo vyote hadi HIV, kapimwa yupo safi kabisa kwa matumizi . Hapa nimekaa bado natafakari nianze kumwingiza gheto .... yaani nianze uzinzi kabla ya ndoa ... daaah hamu zimenijaa sana na hilo swala sitamani kulianza.
Kwaiyo mkuu huna dem?
 
Daaah!! Mi nakumbuka 2017 ndo nilianza life la kujitegemea hapo nimetoka kumaliza chuo halafu nikapata Mishe mishe pande za mkoa Fulani uzuri kulikuwa na rafiki yangu pande za mkoa huo so nikafikia kwake nikakaa kama mwezi mmoja hivi then nikaenda kupanga baada ya kulipwa my first salary maana kukaa kwa watu muda mrefu sio issue..

Basi mzee mwenyewe nikaenda kupanga hapo sina godoro wala kitanda na pesa ilikuwa imeshakata maana salary ilikuwa ya kawaida + majukumu ya kifamilia so nikabakiwa na pesa ya kula na nauli then nilichofanya cha maana nilinunua mkeka na mto so nikaanza kulala kwenye mkeka chini,then nikanunua jiko la gesi, sufuria set nzima ambayo zinakuwa 4, miiko miwili, vijiko dozen moja, ndoo na jaba, container kubwa za kuhifadhia vyakula, sabuni ya kuogea, ya kufulia, dodoki, mswaki mpya, dawa ya meno mpyq, mapazia mawili, mashuka mawili ya kulalia, ndala za bafuni....

Baada ya miezi miwili mbele nikawa nimeshanunua kitanda na godoro so life likawa limekaa stable hata demu kumualika ndani ikawa hakuna noma[emoji16][emoji16]
Ilitaka kufanana na mim, kidogo
 
Wazee saivi nshalipia geto, miezi 6 ka 480K,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bado nipo kwa golikipa nasbl pesa ninunue vitu
Aaah kwaiyo kodi inaendelea ww ukiwa haupo? Hongera sana mkuu...nenda hata na godoro tu ukalale kwako[emoji23][emoji23]
 
Aaah kwaiyo kodi inaendelea ww ukiwa haupo? Hongera sana mkuu...nenda hata na godoro tu ukalale kwako[emoji23][emoji23]
hapana mkuu, mkataba tumeandika naanza kukaa tar 01 wa 10
 
Back
Top Bottom