Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Daaah!! Mi nakumbuka 2017 ndo nilianza life la kujitegemea hapo nimetoka kumaliza chuo halafu nikapata Mishe mishe pande za mkoa Fulani uzuri kulikuwa na rafiki yangu pande za mkoa huo so nikafikia kwake nikakaa kama mwezi mmoja hivi then nikaenda kupanga baada ya kulipwa my first salary maana kukaa kwa watu muda mrefu sio issue..

Basi mzee mwenyewe nikaenda kupanga hapo sina godoro wala kitanda na pesa ilikuwa imeshakata maana salary ilikuwa ya kawaida + majukumu ya kifamilia so nikabakiwa na pesa ya kula na nauli then nilichofanya cha maana nilinunua mkeka na mto so nikaanza kulala kwenye mkeka chini,then nikanunua jiko la gesi, sufuria set nzima ambayo zinakuwa 4, miiko miwili, vijiko dozen moja, ndoo na jaba, container kubwa za kuhifadhia vyakula, sabuni ya kuogea, ya kufulia, dodoki, mswaki mpya, dawa ya meno mpyq, mapazia mawili, mashuka mawili ya kulalia, ndala za bafuni....

Baada ya miezi miwili mbele nikawa nimeshanunua kitanda na godoro so life likawa limekaa stable hata demu kumualika ndani ikawa hakuna noma[emoji16][emoji16]
Ulishindwaje kuleta dem kipindi unalalachini uwo ni uoga iko kipindi kizur cha kumjua demu anayejua maisha ninin
 
izo apo, ila ndo nmeingia nmelala sku 2,
IMG_20190922_194851.jpeg
 
Hahahahahaha Kuna mmoja alikuja kwangu kwa mara ya kwanza kabisa wakati yupo njiani akaagiza nimpikie ndizi nyama, nikawazaa jinsi gani alivyo mweupe kichwani nikaona isiwe kesi nikampikia kafika kala,.... Akaanza ooh leo napiga simu home kwamba nalala hapa kwako, kumbe alikuwa anataka kwenda kwa bwanake, nikamwambia hilo haliwezekani, usingizie upo kwangu kumbe upo unakojua mwenyewe big no,nenda kwenu ukaipange safari yako kwa mtindo mwingine


Ananionaga nuksi
Alivyo mweupe kichwani


Hapo nimechekaaa
 
Back
Top Bottom