Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Gheto nimeanza kukaa nlipoanza high school...Mzee wa mshikaji wangu alitupa nyumba ambayo haijaisha tukakarabati chumba kimoja tukahamia tukawa tunapiga Msuli humo...tunaenda kupiga msosi ma kwetu tunarudi Gheto kutoboa...after high school nikapata kazi mkoani, Mzee akanipa Godoro tu nikaanzie Maisha then akaniambia mimi na wewe are done, i never looked back since then.
Mzee safi sana huyo.
 
Bado Nini Hapa Wapwa?
EvADl-BXMAAPcvt.jpg
 
Ktk maisha yangu sijawahi nunua kitu kwa mtu, kitu nikikipenda natafuta hela naingia dukani kuchukua, na ktk maisha yangu sipendi vitu vya kupewa au kuachiwa.

Kaka zangu (twins) wanasoma Muhas last yr now, na hao wenyewe kila mtu anaishi kwake japo ni majirani tyuuh sehem wanayoishi. Wakimaliza vitu vyao uamuzi ni wao kuuza au kurudi navyo home.

Kwa upande wangu vitu nilivyokua navyo nikihitimu siwezi kuuza narudi navyo home tyuuh. Ili nikaanzie maisha sehemu nyingine.
Upo vzr mkuu[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom